Nimemchoka huyu dada, nataka tu nianze maisha mengine. Hana akili kabisa

Swali la kijinga,jiingize basi kwa wanawake wa hivyo,mbona wengi tu,kama unajiona una hela sana.Jamaa kampa 150,000/= wiki mbili zilizopita,mdada tena anataka 300,000/= na mshahara wa huyo dada siyo chini ya 2000,000/,huoni kuna tatizo hapo?
Kama una hela nyiiiingiii tafuta wa aina hiyo.Acha kumuuliza jamaa maswali ya kiwaki.
 
Hivi huwa mnawapata wapi mademu ombaomba?
 
Wewe unaleta mapenzi ya kweli mwenzio yuko kibiashara zaidi..wewe unamuona kama girl- friend, yeye kapata buzi la kuchuna..lazima kiumane hapo..Mzee jikate kimyakimya...kiutu uzima...usitoe kashfa wala kulalamika...
 
Ongezea na andiko la Wagumu waraka Wa pili:2:3-4 kinasema " aijuaye kesho yake, bahariaaaa asihonge mana pesa mtaani ngumu, sio poa!". Mwisho wa kunukuu
 
Hapo ni vile unatumia uume wako, ingekuwaje kama na uume angekua anakuazimisha uutumie kumchapa nao, halafu ukimaliza unamrudishia?
 
Unasutwa ubahili kwa hela zako mwenyewe mkuu.

Bidada hajui ubahili ni haki yako ya kikatiba?
 

Umeongea kila kitu,mwanzo wa mahusiano ndio unaonyesha mwanga mbeleni kama mtu ulitoa sana mwanzoni means lazima uendeleze ,it’s crazy world tunaishi aisee ,hiki kizazi cha miaka hii hapana
 
Ni chaguo lako....by the way, mnataka classic chiks, wanataka classic cash, wakupe classic services....
Classic chicks hawana shida ya hela. Labda wanaweza kuwa na shida ya ku spend time na mtu.

Na ikitokea kwa nadra wakawa na shida ya hela wana resources nyingi. Wanajua kwao it is embarassing kuomba hela ovyo.

Ukishakuwa na shida ya hela, halafu unamganda boyfriend, anakwambia hana, unamsuta ubahili, ujue hapo ushashuka madaraja kadhaa kutoka kuwa classic chick unaenda kukimbilia ligi ya common whore.

Nilikuwa naye mmoja hapa US, nyumba Masaki, nyingine Mikocheni. Yeye tatizo lake si kupata hela, tatizo lake kuingiza hela Bongo, ile limit ya $10,000 ni ndogo sana. Nikawa namsaidia kupitia network zangu za Wall St.

Mtoto mkifanya mtoko mnagombania kulipa bill.

Ukiamua kumnunulia zawadi uamue tu, lakini huombwi hela hata siku moja.

Mtu akiniambia huyu classic chick naweza kuelewa.

Huyo anayelazimisha kupewa 300,000 ni maigizo ya classic chick labda.

Mnaendekeza uombaomba wa kimasikini halafu mnajiita classic chicks?

Acheni ujinga.
 
Huu mwandiko ni kama naujua..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…