Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,214
Bongo hao ndo classic chicks 😂😂Classic chicks hawana shida ya hela. Labda wanaweza kuwa na shida ya ku spend time na mtu.
Na ikitokea kwa nadra wakawa na shida ya hela wana resources nyingi. Wanajua kwao it is embarassing kuomba hela ovyo.
Ukishakuwa na shida ya hela, halafu unamganda boyfriend, anakwambia hana, unamsuta ubahili, ujue hapo ushashuka madaraja kadhaa kutoka kuwa classic chick unaenda kukimbilia ligi ya common whore.
Nilikuwa naye mmoja hapa US, nyumba Masaki, nyingine Mikocheni. Yeye tatizo lake si kupata hela, tatizo lake kuingiza hela Bongo, ile limit ya $10,000 ni ndogo sana. Nikawa namsaidia kupitia network zangu za Wall St.
Mtoto mkifanya mtoko mnagombania kulipa bill.
Ukiamua kumnunulia zawadi uamue tu, lakini huombwi hela hata siku moja.
Mtu akiniambia huyu classic chick naweza kuelewa.
Huyo anayelazimisha kupewa 300,000 ni maigizo ya classic chick labda.
Mnaendekeza uombaomba wa kimasikini halafu mnajiita classic chicks?
Acheni ujinga.
Huyo wako aisee , bongo si tutamuitaje 😂😂