uttoh2002
JF-Expert Member
- Feb 3, 2012
- 17,060
- 32,400
Aisee hii mindset ya kusema kabila fulani ni mzuri halafu kabila lingine ni mbaya ni kitu kubaya sana aisee asikuambie mtu wakuu na unatakiwa kuindoa hiyo mindaet kabisa
Miezi kadhaa nilimchumbia binti mmoja wa kabila la kanda ya ziwa mkoa wa simiyu yeye ni Mkristo (Msabato) mie ni ni mlokole hopefully kuweza kumbadilisha dini yake aisee nilichokuja kukutana nae najuta kabisa na mbaya zaidi nilitoa mahari milioni kadhaa aisee
Binti ana hasira,mbabe na sometime ni mvivu kitu ambacho sikukitegemea, yaani kwasasa nimemchoka natamani nimpige chini ila nashindwa nianzie wapi na wazazi wake niwaambie nini?
Wewe sio Mlokolole:
1. Usifungiwe nira na asiye amini.
2. Ndoa inavunjwa, ila sio style hiyo.
Kama mna watoto, huu ndio mwanzo wako wa kuharibikiwa vizuri.