Nimemchoka mke wangu natafuta jinsi ya kumpiga chini



Wewe sio Mlokolole:

1. Usifungiwe nira na asiye amini.
2. Ndoa inavunjwa, ila sio style hiyo.

Kama mna watoto, huu ndio mwanzo wako wa kuharibikiwa vizuri.
 
Aisee, kuna wanawake wana viburi hata shetani akasome.

Halafu anaweza kuwa sio mchepukaji ila akawa ni mchawi, hilo hata uzungumze nae kwanza hakubaliani nalo na hawezi kuacha, anaogopa adhabu ya viapo alivyoingia.

Anakupigia hesabu tu lini akutoe kafara, yaani kung'ang'ania kuishi nae ni kujichimbia shimo la tewa.
 
Ila kanda ya ziwa na kanda maalum kuna ubabe hatari. Yaani kuna matukio ya ajabu ajabu mpaka unashangaa.
 
Ina maana siku zote tangu umuoe hujampiga chini?
Tafuta Mkuyati au Mkashari kaka....😄
 
Sijaelewa umesema umechumbia
Huku tena u asema mke?? Ni mke au mchumba??
 
Mbali na hayo uliyoyaeleza hana jema lolote kwako?
 
Another man down..... copy that....
 
Acheni kuoa bana hamsikii tu, kutwa kulialia
 
Changamoto nyingine ni kuigiza maisha kabla ya ndoa. Hii ni kwa pande mbili zote kwa lengo la ndoa. Inapo fika sasa kuishi pamoja maigizo Huisha na uhalisia huonekana na shida ndio huazia hapo
 
Hakuna mkamilifu, hata baada ya kiza kinene hakuna budi kupambazuka.
Mwanadamu ni kiumbe wa kugeuka, fanya maamuzi ya kumbadilisha tabia kabla ya kubadilisha mke.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…