Nimemchukia mke wangu

Mkuu hujaona kama jamaa ana matatizo?
kumchukia mtoto sababu pekee ikiwa ni kutokufanana kwa sura?

kukubali kupangiwa siku za kusex unahisi imesababishwa na nini?

kutafuta furaha yake kwa michepuko na kuhonga nusu ya mshahara wake!

Sidhani kama unafahamu jinsi inavyouma unavyohisi mtoto siyo wako? Labda nikugusie kidogo,humchukii mtoto,ila kama baba roho inakataa kuwajibika kwa kupenda,unakuwa unaforce kwa vile mahitaji mengine ni muhimu kwa mtoto.
 
kutoka na uniform tena kwani anasoma veta
 
1.Anakufumania mara kwa mara,huombi msamaha unamwambia kama anataka kuondoka aondoke,inaonesha yeye anakuvumilia ilihali umeshamchoka
2.wakati unamuoa hukuwa mzoefu sana kwenye masuala ya ngono,je unahisi unamridhisha kunako sita kwa sita?
3.kuhusu kunyimwa tendo mara nyingi inasababishwa na shoo mbovu kitandani,mwanaume mwenye shoo ya uhakika ananyimwaje sasa kwa mfano?inawezekana pia ukawa sio romantic mapenzi ni sanaa
Sikushauri kumuacha huyo mwanamke inawezekana akawa anakuvumilia kwa mengi kuliko unayomvumilia wewe
 
Sidhani kama unafahamu jinsi inavyouma unavyohisi mtoto siyo wako? Labda nikugusie kidogo,humchukii mtoto,ila kama baba roho inakataa kuwajibika kwa kupenda,unakuwa unaforce kwa vile mahitaji mengine ni muhimu kwa mtoto.
unahisi na unafikia conclusion?
na je ukienda kupima ukapata mtoto ni wako? will you burn away all the pain and anger you caused to the baby and mother?
 





Vijana wenzangu mnapotea kwa kukosa maarifa, unajua makosa yako lakini au unamyoshea kidole tu mwenzako? Kwanza umenishangaza kumchukia mtoto pasipo sababu, kwanini unamchukia na kumbuka chuki haijifichi unahisi mkeo hajajua kama unamchukia mwanao chanzo cha ulofa wako kimeanzia hapo, kama huamini mtoto ni wako si kapime DNA, sipendi kuona mtu hatumii akili, ona sasa umeishia kuwa na wanawake 30 bado unasema unampenda mkeo
 
Mwanaume ndiyo nguzo katika familia, nyumba hujengwa na nguzo ila kama nguzo zikawa sio imara zikajengwa na ratio ndogo ya cement hapo hakuna nyumba, wewe ni mfano wa nguzo dhaifu, umeshindwa kuitetea familia yako umeishia kutembea na michepuko then unakuja unasema unampenda mkeo, umemtafutia visababu vingi sana ukasahau yako, mahusiano ni two way kama wewe tabia zako mbovu mkeo pia atakua na tabia mbovu tu, hujajijenga kikamilifu mwanaume ni sharti usimame na familia yako kile kiapo cha kanisani kuishi kwa raha na shida na mpaka kifo ni hukumu hiyo tayari umeshajifunga, kutafuta mke wapili unahisi umetatua tatizo, nyama ni hile hile bucha ni tofauti
 
Naona wengi wameshauri na mimi niweke mchango wangu.....
I
i. Mpende huyo mtoto wako wa kwanza wala huna sababu ya kulinganisha sijui nini wala nini; Ukimpa shetani nafasi atashinda
Huyo ni mtoto wako wala hana kosa lolote na utashangaa akaja kuwa mkombozi wa kukusaidia ukiwa mtu mzima
ii. Kuhusu matatizo yako na mkeo
Naona tatizo la msingi la ndoa yenu ni kuwa; mwanammke hana ham ya kufanya mapenzi; sasa hilo ndio ungeshuhulika nalo sio kwenda kwa michepuko;
Kuna sababu nyingi hufanya mwanamke akose ham ya kufanya mapenzi; baadhi zaweza kuwa;
1. Stress/Mawazo - umesema anasoma hivyo ujue kama shule ni ngumu kwake hawezi kuwa na ham
2. Anatumia dawa za kupanga uzazi- baadhi ya dawa hufanya mwanamke akose ham ya kufanya mapenzi kabisa
3. Kusemwa/kugombezwa - mwanamke akigombezwa gombezwa hupoteza kabisa ham ya kufanya mapenzi
4. Humtoshelezi- mwanamke hukosa ham ya kufanya mapenzi kama mwanamme anajiangalia mwenyewe/hamfikishi
5. usafi - mwanamke hukosa ham kama mwenzi anapenda kufanya kabla ya kujiweka safi (kuoga+ mswaki)
6. Kuzaa - kuna wanawake wengi tu wakizaa; hamu ya kufanya mapenzi huweza kuongezeka au kupungua na changamoto hizo zinabebwa na wanaume na wala huwasikii wakilalamika mitaani kwa kuwa niwaelewa
7. nk

Huyo bado anaonekana kuwa mwanamke mwema; mpe nafasi kabla ya kumuhukumu kumbe yaweza kuwa makosa yanatokea kwako. Fuatilia hayo na mengine unaweza ukaona wapi unakosea
 
Nashauri kwa wanaume ambao bado hawajawa tayari kuingia kwenye ndoa nashauri wasiingie maana mnaingia na kukutana na chanagamoto ndogo tu na mnayumba sana, kuna watu wana matatizo wewe kunyimwa papuchi tu tayari umeshatembea na michepuko 30,hivi hujui hormones zao za kuwa na hamu na tendo hushuka wakina mama wengi punde anapojifungua, ni scientific problem ila wewe umechukulia personal
 
Kitendo cha mkeo kukunyima haki yako ya ndoa inaonesha kuna tatizo ambalo hapa kwenye uzi wako umekataa kuandika.Umenishangaza kuweka chuki kwa mtoto kisa hajafafa nawe uzi wako kuna vitu vingi umefukia ili unekane u sahihi.
 
📌📌
 
Sidhani kama unafahamu jinsi inavyouma unavyohisi mtoto siyo wako? Labda nikugusie kidogo,humchukii mtoto,ila kama baba roho inakataa kuwajibika kwa kupenda,unakuwa unaforce kwa vile mahitaji mengine ni muhimu kwa mtoto.
Unahisi vipi kama mtoto si wako hali ya kuwa mke hajawahi kuonesha dalili ya kushit maana jamaa kwenye Uzi wake hajaandika mkewe aliwahi msaliti ninachoona kwake yeye ndiye hajatulia so anahisi na mkewe alikuwa hivyo akapatikana mtoto asiyefanana nae inachekesha😃
 
Umeongea vizuri mkuu,tafadhali huyo ndugu mimi namshauri ,
1)mpende mkeo mwaka wa kumi bado mnaanza vituko,upendo uvumilia,hautafuti sababu,upendo hauhesabu makosa,upendo haukosi kuwa na adhabu,kwa nini hamwezi kusameheana?,na kurekebisha makosa yenu.!.
2)Nijuavyo mimi wakati unadhani wewe ndo una maumivu mengi,yawezekana tukimsikiliza mkeo hapa ataongea kwa machozi na majonzi mengi kuliko wewe,
3)Hakuna hasiye na makosa kati yenu kikubwa na ninauhakika kuwa chanzo cha matatizo utakuwa ni wewe kwa sababu mala nyingi sisi wanaume hatuonagi kama tunakoseaga.
4)Rudi kwa mke wako kajishushe omba msamaha ili umpe nafasi ya kufunguka yote yaliyoko moyoni mwake,
5)Usimwache mkeo kwa chochote, na kuonana na mwamke kwa mda mfupi siyo tatizo kwani kuna waliokaa kwenye uchumba zaidi ya mwaka na walipo oana wakaachana,pili usimchukie mkeo kwa sababu ya mtoto unayeisi siyo wako kwa sababu atakama si wako wewe mtunze na mhudumie tu,kwa sababu ilikuwa ni vigumu mno mkeo kukwambia mtoto si wako wakati anataka kuolewa na wewe na mda mwingine ata kama mtoto si wako haimaanishi kwamba alikuwa muhuni sana ila sherani yuko kazini kuvuruga mausiano.
6)Nitakomea hapa na kama utaitaji ushauri zaidi utani DM,Katika yote unayofanya ujue kuna Mungu mwenye kuhukumu bila ubaguzi jitaidi kumtegemea Mungu katika maamzi unayotamani kuyafanya,Kikubwa ni kuvumiliana mimi na mke wangu tuna miaka saba tu,ila tunaishi vizuri sana na hatuna Mtoto mpaka sasa na tuko vizuri,Siku ukifika mbele za Mungu atakushangaa kwani atakuletea walio pita mazito kuliko wewe.....
Kila la kheri.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hapa kaua tena aliletewa na mtoto juu
waliingia kwenye game wakiwa 1-0 mwenzake anaongoza kwa goli la ugenini,lazima apate moto ndoa c mchezo inahitaji wananume wa shoka walioaga kwao
 
Walipo andika " akamfanyia wakufanana nae"hamkuelewa tu?

Kosa ni lako ww mwenyewe ndio chanzk cha yote hayo. Hile ACTION ulio ionesha ya kutokumpenda/kumjari mtoto wako wa kwanza (ambaye niwa kwanza kwake) ndio ilileta yote hayo, alichokifanya yeye ni kuonesha REACTIONS kwako kwa tabia yako ya kibaguzi. Rudisha upendo kwa mtoto wako wa kwanza na yeye atakupa positive reaction kwenye mapenzi yenu.

Michepuko ni njia bora ya kusaidia kuvunja/kuharibu familia yako, usikimbilie kuchepuka kwa kuhisi unatatua matatizo yako.
Kaa nae chini muongee umwambie makosa yake na ww umpe nafasi ya kuongea yaliyo moyon mwake then msamehane muanze upya.

KUMBUKA DHAMANA YA NDOA YENU IPO MIKONONI MWENU NINYI WENYEWE
 
Yaani mwanamke aninyime K" alafu Bado naishi naye?????heeheee
 
Kipendhiiiiiiih leo nkuletee nn? Sio kwa madini haya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…