Nimemchukia mke wangu

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ubarikie Icee
 
Ubarikiwe sana.
 
Mkuu pole sana, nashauri uoe tu maana huko mbele unaenda kuteseka mno dalili...ni mawingu mkuu.
 
Kwenye ndoa bora ninyimwe chakula sio papuchi huo ugomvi wake atakuja kuamua mama mkwe
 
You put Wrong advice this why "never take advice to fish how to fishing fish"🤔 eti nenda seheme ukae huanze kufikiria,kufikiria nini tena.mke kama huyu jibu ni moja smash out
 
Pole mwamba, kuwa kichwa cha familia lazima uwe na akili nyingi sana, niseme tu kuwa wewe unayumba kama kichwa cha familia.

Suala la mtoto si wako limeadhiri sana mtazamo wako kuelekea mkeo, usipo angalia, nyumba itaharibika, utapata maradhi na hata hiyo furaha unayoitafuta huta ipata kamwe, suluhu si kuoa tena, suluhu ni kujenga nyumba yako ulianza kuvuja.

Fanya kama mtu mzima, Kwanza mkubali huyo mtoto mtunze kama mtoto wako, mpe mapenzi yote, usimbague, huwezi kujua huko mbeleni atakusaidiaje, tuna mifano mingi sana hata sisi familia yetu kuna mtoto mmjoa inaonekana si baba yatu, tulipata taarifa kwa watu, lakini inaonekana mzee alipambambana sana hilo lisituadhiri, alitupenda wote kama watoto wake.

Mwisho wa siku huyo mtoto ndiyo yupo karibu na wazazi kuliko sisi wengine, amepata kazi nzuri ana mshahara mzuri, kukiwa na tatizo home yeye ndiyo wa kwanza kufika na kutupa taarifa.

Kifupi kama wahenga walivyosema kitanda hakizai haramu, huyo mtoto si haramu.

Pili, Mawasiliano na mkeo ni muhimu sana, mwendo unakwenda hautawasaidia, watoto wanakuwa mwisho wa siku nyumba itafarakana, jambo la kufanya tenga muda na mkeo, Tafuta mahali patulivu maambie una mazingumzo naye, Mweleze mwendo mnaokwenda nao sio,huko mbele ya safari itakuwa mbaya zaidi,mwambie umekaa umefikiri lazima tubadilike, mwambie unataka ndoa iweje, muishi vipi, wajibu wake no upi na wewe wajibu wako ni nini.

Jaribu kufufua mapenzi yale ya mwanzo, mwambie unachota, kama kunamahali ulimkwaza weka sawa, muanze upya, mweleze tamaa yako ya kutaka kurekebisha.

Kuishi na hawa wakina mama inahitaji akili sana, wakati mwingine unajishusha, lakini pambana kwa kumwambia bila woga, mambo usiyoyapenda anayoyafanya, Kukunyima unyumba ni kosa kubwa sana kwa mwanamke, mwambie hadhari yake.

Ukifanikiwa kufanya haya natumaini ndoa yako ita restore na utakuja kunishukuru hapa.
 
Simchukii mtoto hili sio mama ama mtoto anajua ni la moyoni mwangu. Mama anajua nampenda sana mtoto wetu
 
Binafsi mimi mpole kupitiliza ila very complex na mkorofi sana ikitokea nimevurugwa so sijawahi hata kumkatipia tunaishi vizuri tu ila tu shida ilopo ndo kama ninavyosema
 
Ishu ya kunisaliti siwezi kuiongea hapa nitakuwa nimeji unmaski hiyo ndo inafanya mtu akisoma hawezi kujua nani anayeandika uzi
 
Alinisaliti vibaya sana sijasema mara nyingi wakati tukiwa wachumba
 
Bro nampa kila kitu na ninaonyesha upendo wa hali ya juu kwake, ila sina ile feeling ya mzazi kwa mtoto wake, nafikiri umenielewa. Nampa kila kitu na mama yake hahusiki kwa kila kitu yaan yy hela yake nishamwambia ni yake ya matumizi binafsi. Hivo mshahara wake huwa siugusi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…