Nimemchukia mke wangu

Kwahiyo ulikutana na mtu kwenye simu, kisha mkaonana kama mara 3 tu ukawa umeshakolea na kujiridhisha kiasi cha kuoa??
 
Chief chukua bia 3 kwa mangi ntalipia za barid

Sent from my MRD-LX1F using JamiiForums mobile app
 
Haya maisha kuna vitu vinanichangaya kwa kweli,
Hivi kipi kilicho bora, uoe msichana ambaye mmezoeana au kufahamiana kwa mda mrefu au uoe ambaye mmefahamiana kwa mda mfupi?
 
Yaani umeshindwa kwenda love connect ukatafute huyo mke wa pili bila kuanza kumtafutia mke wako makosa?

Be a man and grow some balls.

Kangaroo wewe.
 
Kikao cha mwisho tulikubaliana wavuta bangi hawafai kuoa nani anakumbuka?
 
Huku mwisho ndio kungekuwa kwenhe kichwa cha habari, ungesema unatafuta mke dini muislam, awe mtanga n.k n.k

Pili chief, wabongo tunasema ulikosea kuoa.. Bonge moja la boko.
 
Imenilazimu kuandika kitu. Na ushauri wangu utakuwa mbaya. Na pia hautafanana na mtu yeyote humu.
Moja si vyema kumpiga mwanamke, na mwanamke hapigwi Ila kwa kesi yako hii si busara kutompiga mkeo, mtandike, akikupandishia nyodo mtandike na mtandike viboko Kama mtoto mpaka akalale be a man.
Kitandani usitembee na mwanamke bila kumwandaa. Ila hii ni kwa mwanamke mwenye akili timamu tu. Miezi Saba bila mapenzi na mnasema eti mko wapole? Huyu ni case ya nguvu na hakuna maandalizi Mara kadhaa kwenye ndoa kubakana ni kawaida. Mbake, piga Sana mzigo na mbake almost kila ukitaka mzigo. Acha kumwomba mzigo Anza tu kumsarua nguo akizingua be a man use force.
Mfanye yeye ndo awaze kutafuta ushauri na kuja mezani. Ili mtakapokaa mezani muongee.
Tatu, huyu si wa wewe kubeba mzigo wa familia Anza kumjulisha anatakiwa kuchangia mpaka Karo za watoto huko bording na gharama zingine za maisha. Ili atakapoenda kuomba msaada wa wale michepuko wake na wakamnyima itamkumbusha ulivyokuwa mzuri.
Ni lazima umkumbushe ni wakati gan alipoteza mwanaume mzuri ndani ya familia na kumpata monster. But usije kujaribu kumpiga mbele ya watoto.
Mwisho acha busara kwenye mapenzi Anza kuongea maneno machafu! Hata ukimtext mtext sms unamwitaji we tamka maneno mazima mazima na namna unavyomisi na jinsi.......
Kwa jinsi ulivyo huwezi kuwa na mke wa pili wewe watakuchomea ndani
Kifupi be tough!.
 
Dogo , Tafuta Hela.....yote hayo SULUHU yake ni kuwa na HELA......
 
Ushauri wa Ki BOGUS.....badala ya kutumia nguvu kutafuta hela , unatumia nguvu kwa mwanamke? BOGUS......Tafuta Jeuri ya Pesa, OA mke mwingine weka ndani...ye atajua pa kwenda PAMBAF
 
Umejieleza vzur Sana Hongera
Ili ushauriwe ni laZima huu uzi ubalance
Sasa kama ulivojieleza wewe hapa mlete na mkeo atoe Maelezo kama yako halafu solution ipatikane

NB: Umemkandia Sana mkeo, hivyo Maelezo yako ni Dhaifu unless ulete na Maelezo ya mkeo "Kwan mkeo anasemaje kuhisi hili???
 
Ushauri wa Ki BOGUS.....badala ya kutumia nguvu kutafuta hela , unatumia nguvu kwa mwanamke? BOGUS......Tafuta Jeuri ya Pesa, OA mke mwingine weka ndani...ye atajua pa kwenda PAMBAF
Wewe mwenye shida ya hela nenda katafute hela. Yeye anashida na mke wake sisi tunamshauri kulingana na shida aliyonayo. Ukiwa unashida na hela usifikiri sote tunashida na hela. We mpe ushauri wako unaomfaa niache me nimpe wangu naoona unamfaa. Kuoa mke wa pili si ufumbuzi Bali ni kuongeza tatizo
 
ACHA UBOYA....NYIE NDIYO MNAKUFA NA MASTRESS KILA SIKU
 
Nikionaga mambo kama haya hamu ya ndoa inaendelea kukaa benchi. ingawa naitaman dah dillema kama dillema
 
ACHA UBOYA....NYIE NDIYO MNAKUFA NA MASTRESS KILA SIKU
Acha ukenge, usitake tufanane kimitazamo na tambua makuzi yetu hayafanani lofa wewe, kama wazazi wako walikulea kiboya na kutokupa elimu dunia basi sio wote jitasmini sana, wewe unaogopa kufa na stress mjinga kweli wewe, kifo ni kifo tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…