Nimemfuma mke wangu akimfunda jirani/maarufu kama shoga yake kuchepuka

Tafuta Skanka Uvute,,Kisha Agiza Kitimoto Rosti Kg 1½ Uitafune Haswaa Huku Ukishushia Na lager Kadhaa Kama Una Pisi Nyingine Ya Pembeni Itafute Kaitafune Haswaa.Inarudisha Hadhi Ya Kiume Japo Haipunguzi Maumivu
 
KATAA NDOA
 
Huo mlimao wako n jike. Hili uweze kuzaa Malimao lazima utafutie Dume.
 
Mle tiGo huyo
 
kaishaliwa mkeo
 
Mkuu kuchapiwa ni Siri ya ndani nakushauri kama mmekaa kwenye ndoa miaka yote hamna shida sasa usije ukajaribu kuchunguza hayo maneno kitakachofata hapa mungu ndio atakae amua na maisha sasa hamna mwanamke wa peke yako na ndio maana wazee wetu wa zamani wanasema ukikaa mda mrefu hujafika nyumbani siku utakayoenda mwambie mama watoto nakuja walishayaona
 
Kabisa tena Kwa watu wanaoishi mbali,na wenye kazi zakubangaiza ndio majanga kabisa,wkt mwingine wakinamama humtoshelezi na unachompatia nae anaenda winda nje ili apate hela zakutanya mambo yake pia,ambayo mengine huyajui kabisa
 
Sasa wewe, si tulishakubaliana ukiwa unarudi home upige mluzi ama utangulize nyama kg kadhaa?
Ona sasa! Huyu mkeo funga saba utubu kwa kumnyatia na umuombee Mungu amsaidie aache tabia ambazo hazina utukufu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…