Nimemfuma mke wangu akimfunda jirani/maarufu kama shoga yake kuchepuka

Sasa mkuu, una mpngo gani na huo mlimao? Si ungeukata p ili uchome mkaa tu.
 
Hapo sasa mtihani, ila tukija kwako pia

Kwa hiyo mzee ndio kusema hucheat kabisaaaaaa

Au ndio vile tena wasemavyo waswahili

Mosi, Nyani haoni...... na pili, Mkuki kwa nguruwe . . .
Dogo acha ujinga, nani alikudanganya mwanaume anacheat?

Uchafu/zinaa anatunza mwanamke.

kati ya anaetema na kutemewa ni yupi huona/hupatwa kinyaa?
 
Sijaelewa stori ya mchenza na mlimao imeingiaje?
 
Kuna mambo ukiyafikiria na kuyafuatilia sana unapunguza siku za kuishi kwa stress
 
Miti ikikua wagonjwa wapate kivuli waweze kuwateta manesi
Hahahaha.

...ndugu wa wagonjwa waweze kupata kivuli ili wajadili bill za wagonjwa na kuwasimanga manesi wavivu....

Hiki kipande kimenifurahisha
 
Fungua chuo cha udangaji upige hela lecturer unae
 
Huo mlimao ni dume
 
Sijui kwanini, lakini ni Mwenyekiti pekee wa chama pinzani aliyejinyakulia kiti kati ya mitaa 18 ya kata hii.
Nimeishia hapa kusoma natafakari ni kata gani hiyo yenye mitaa 18? Kata inakuwa na mitaa isiozidi kumi tu.
 
Inaonekana ni chai lakini ni chai ya tangawizi, haya mambo huwa yapo
 
Inaonekana ni chai lakini ni chai ya tangawizi, haya mambo huwa yapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…