Nimemfumania mchumba wangu je nimsamehe niendelee na mipango ya ndoa?

Mwambie sikuamini kama unataka nikuamini twende nikakut*mb akikataa achana naye
Bikra hakuna labda ya mbao
 
elimu yako tafadhali?
mbona unashindwa kufanya decision kwenye mambo madogo namna hio
 
Pole na ujakua Bado hivi mtu mwenye shahada awe bikra kirahisi tu,hiyo ayupo tayari
 
Badili jina ujiite Ustadhi Tonge!! Mchumba au mke hasameheki akifumaniwa.
 
Hapo unashindana na matamanio yako uhalisia huyo si mwanamke wa kuowa ila matamanio yanataka hapo mufti acha kuskiliza matamanio move on tafuta namna ya kulikwepa hilo jambo
 
Samia suluhu mitano tena 2025-2030
 
mbona ushauri tayari unao ila ni vile unataka tuamini ulichokiamua wewe. HUPASWI KUMAMINI MUONGO HATA AKISEMA UKWELI.
 
Fanya upelelezi wa kutosha kujua huyo mtu aliyekuwa naye wana uhusiano gani ili uwe na amani ya kuendelea na hatua zinazofuata!
 
Ushauri wangu. Wewe ni kijana wa miaka 27 Bado una safari ndefu ya kujenga Maisha yako.

Jenga Maisha kwanza focus na Maisha Jenga uchumi imara.

Anza kufikiria Kuoa ukiwa na miaka 35. Ukiwa umetengeneza future.

Kuhusu uyo mwanamke. Achana nae Atakuja kukusumbua uko mbele.

Swala la uaminifu ujengwa kwenye ngazi ya malezi na makuzi ya familia.

Nakushauri kabla ya kumwacha chunguza kwanza na ukigundua siyo mwaminifu kweli, achana nae.

Narudia tena Jenga future. Vijana wengi wanakimbilia Kuoa badala ya kutumia fursa ya kuwa single kwa kujijenga na kuipigania kesho Bora.

Maisha ya kuwa mwenyewe na ukizingatia una Ajira. Ni fursa nzuri ya kufanya seving na kuwekeza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…