Nimemfumania mchumba wangu je nimsamehe niendelee na mipango ya ndoa?

Sasa ndugu yangu, Mungu Amekuonyesha Dalili za hatari kutoka kwa huyo mtu, Hakuna kitakachobadilika kwenye ndoa Tabia itaenda ivoivo mpak mnaingia Kaburini. Kama utaweza kuvumilia Cheating, Magonjwa Na Uongo wake Mpak mnazeeka Basi Muoe, Ila Kama Una roho nyepesi Vunja uchumba, kwa sababu uchumba kuvunjwa sio kosa na inaruhusiwa Hata Kidini. Then tulia tafuta Mwenzi ambae Yuko serious na wewe Huyo anaekudanya Kama mtoto atakumaliza kabla ya siku zako.
 
A
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 27. Mwezi Januari 2026 nilikutana na binti mmoja ambaye nilimpenda na tukaamua kuanzisha uhusiano.

Kwa kipindi chote cha zaidi ya miezi saba ambacho tumekuwa kwenye uhusiano, sijawahi kukutana naye kimwili. Sababu anayotoa ni kwamba yeye ni bikira na ameamua kusubiri hadi atakapokuwa ndani ya ndoa ndipo afanye hivyo.

Nimeheshimu msimamo wake na katika kipindi chote hicho nimekuwa nikimhudumia na kumsaidia mahitaji mbalimbali, kwa kuwa mimi nimeajiriwa. Yeye amemaliza Shahada ya Uhasibu, lakini bado hajapata ajira.

Tatizo limetokea weekend hii. Tulikuwa na ahadi ya kwenda sehemu fulani tukakae na kula pamoja. Sikumuambia mapema sehemu tuliyokuwa tunaenda. Baadaye alitoa sababu kwamba ana matatizo ya kifamilia na hataweza kutoka.

Kwa kuwa nilikuwa tayari nimepanga, nikampigia simu rafiki yangu na tukaenda kwenye ile sehemu. Cha kushangaza, nilipofika nikamkuta yupo pale na mwanaume mwingine, wakiwa wamekaa pamoja, wanakula na kunywa. Hakuniona na mimi sikutaka kumshtua. Nilikaa kwa muda, kisha nikaondoka bila yeye kujua kama nilikuwa pale.

Usiku nilimpigia simu na kumweleza kwamba nilimuona. Mwanzoni alikana kwamba hakuwa yeye, lakini baadaye alikubali kuwa alikuwa pale na akasema yule mwanaume alikuwa ni mume wa dada yake, ambaye alikuwa na kikao sehemu hiyo na yeye aliomba msamaha kwa kunificha ukweli.

Kinachoniumiza zaidi ni kwamba mimi nilikuwa tayari nimechukua hatua kubwa. Nimeshawajulisha watu wa nyumbani kuhusu uhusiano huu, nimeandaa mambo ya ndoa na nilipanga kupeleka posa mwezi huu wa Septemba. Ndugu zangu walipaswa kuanza kuja Ijumaa, tarehe 2 Oktoba 2026, kwa ajili ya hatua hiyo.

Sasa nimebaki njia panda. Nimempenda na bado nina hisia kwake, lakini tukio hili limeniumiza na kunifanya nianze kujiuliza kama kweli namwamini.

Naomba ushauri wenu. Je, nimsamehe na tuendelee na mipango ya ndoa, au nisitishe kwanza mipango yote mpaka nitakapokuwa na uhakika na ukweli wa jambo hili?

Kinachoniumiza zaidi ni kwamba nimeheshimu uamuzi wake wa kutotaka kufanya mapenzi kabla ya ndoa kwa miezi yote hii, huku mimi nikimsaidia na kumhudumia kwa kadiri nilivyoweza. Sasa nimejikuta nikijiuliza kama kweli nimekuwa nikijenga uhusiano wa kuelekea kwenye ndoa na mtu ambaye ninaweza kumwamini.

Nifanye nini kabla ya tarehe 2 Oktoba? Naomba ushauri wa kweli, hasa kutoka kwa watu waliowahi kupitia hali kama hii.
Atakutesa sana ukiibgia naye kwenye ndoa
 
Mpige chini bikra ishatolewa hapo.
 
Kosa la Kwanza ulilofanya ni kumsikiliza, jichanganye uoe ukute hiyo bikra hamna na anachapa miguu yote, utagongewa mpaka na inzi
 
Huna akili

Demu hujawahi kula mbususu unasema mko kwenye mahusiano? Hayo mahusiano mnahusiana nini?

Demu akikunyima mbususu jua hakupendi, kakuona fala kakugeuza kuwa option. Kuna mchizi anamlilia aje aichape atakavyo!

Demu hujamla miezi saba na unahudumia?
 
Back
Top Bottom