Nimemfumania mchumba wangu je nimsamehe niendelee na mipango ya ndoa?

Nimemfumania mchumba wangu je nimsamehe niendelee na mipango ya ndoa?

Kwann uliondoka ukamuacha? Inabidi ujipime wewe mwenyewe kwanza maana kuona mamsi wako yupo na buda mwengine na ukasepa iyo ni shida, ungekaa uwone what happened” sasa umepoteza ushahidi man maana umepangwa ni shem wake😂😂😂😂 jikaze we oa huyo binti ni muaminifu kwako.
 
Jamaa anazingua kweli watu tulibadili maamuzi ya kutoa mahari baada ya kuona mambo hayaeleweki na mpaka leo maisha yanaendelea sema una utoto sana ebu subiria ukue kwanza
 
Mkuu Dada yake anaweza kuja na huyo Bwana aliyemkuta na Mpenzi wake unajua wanaweza kupanga vizuri, We unajua kama lazima huyo Dada yake wanajuana vizuri na huyo Mwanaume inawezekana hata huyo Mwanaume ndiyo anakubalika na anapendwa na shemeji zake kuliko huyo mtoa posa.
Ni kweli kabisa, ni muhimu aje naye sio kwa uthibitisho ila kwa ushahidi wa siku zijazo.
Ipo siku atakutana na shemeji yake halisi.
 
Kumkuta anakula sio kosa, kosa alilofanya ni uongo.... sasa amua mwenyewe miezi 7 inatosha kumjua na kupeleka posa....?
 
Hivi huyo binti anajua kuwa anaolewa na mwanaume wa aina gani??
Yani mtu kuandika tu vizuri ni tabu sasa hayo mambo mengine utayaweza kweli?? Kitandani panataka ufundi mana ile ni sanaa sasa kama haya ya kukariri tu yanakusumbua huko kwingine si itakua tabu zaidi??

Ushauri wangu kwako,
Kabla hujaamua kupeleka mahari jiulize tu kuwa je utaweza kuhimili ndoa ambayo kuna jamaa mwingine anapiga na wewe unajua?? Kama utaweza kustahili oa kiroho safi kama huwezi achana nae mapemaaa
Acheni kujikuta nyinyi ni wasomi sana asa kuandika kwake na kuoa vina uhusiano gani.

Kama huna ushauri tulia.

Rubbish 🗑 🚮.
 
unawezaje kufahamu ndugu wote kaka aneniambia kaka yake saa ingekua rahisi
Kuusikiliza moyo na hisia vitakudanganya, tumia akili.
Huyo mwanaume angekuwa ni shemeji yake angekuambia bila kukuficha, baada ya kumbana sana ndiyo amekueleza.

Hata kwenye ndoa utaendelea kuchapiwa tu maana huyo siyo mwaminifu. Usioe ili mradi unaoa na kuwafurahisha watu kibaya zaidi kitakachokutesa pale alipokuambia ana bikra na ukakuta hana bikra.
 
Hivi huyo binti anajua kuwa anaolewa na mwanaume wa aina gani??
Yani mtu kuandika tu vizuri ni tabu sasa hayo mambo mengine utayaweza kweli?? Kitandani panataka ufundi mana ile ni sanaa sasa kama haya ya kukariri tu yanakusumbua huko kwingine si itakua tabu zaidi??

Ushauri wangu kwako,
Kabla hujaamua kupeleka mahari jiulize tu kuwa je utaweza kuhimili ndoa ambayo kuna jamaa mwingine anapiga na wewe unajua?? Kama utaweza kustahili oa kiroho safi kama huwezi achana nae mapemaaa
1. Ulitakiwa utumie alama moja ya uandishi yaani alama ya kuuliza moja "?" na siyo mbili
2. Hakuna neno la lugha ya Kiswahili "Yani" huwa ni "Yaani"
3. Mana - Maana
4. Katika uandishi wako, haujatumia alama za uandishi kama vile . ,

Cha kushangaza zaidi, unajiona wewe unq akili kuliko mtoa mada. 😄😄😄😄
 
Acheni kujikuta nyinyi ni wasomi sana asa kuandika kwake na kuoa vina uhusiano gani.

Kama huna ushauri tulia.

Rubbish 🗑 🚮.
Huyo mwenye ana makosa mengi katika uandishi wake. Haujui kutumia alama za uandishi kama vile , .

Ameandika ili kufurahisha watu na watu wasivyojua uandishi wanaona kama ndiyo anajua.

Hata ukisoma gazeti utakuta kuna mkato, nukta, alama ya kuuliza ?. Yeye anaweka ??😄😄😄
 
Mtu anahitaji ushauri mtu unaanza kumkosoa.

Wakati huo mkosoaji nae hajui kitu kuhusu anacho kikosoa.

Humanity has so many problems truly, civilization and decency are desperately needed.
 
Mtu anahitaji ushauri mtu unaanza kumkosoa.

Wakati huo mkosoaji nae hajui kitu kuhusu anacho kikosoa.

Humanity has so many problems truly, civilization and decency are desperately needed.
Hao ndiyo wale mtu anazama kwenye mto, anaomba msaada. Wao wanatoa simu na kuanza kuchukua video😄😄
 
Back
Top Bottom