Nimemfumania mchumba wangu je nimsamehe niendelee na mipango ya ndoa?

Hivi huyo binti anajua kuwa anaolewa na mwanaume wa aina gani??
Yani mtu kuandika tu vizuri ni tabu sasa hayo mambo mengine utayaweza kweli?? Kitandani panataka ufundi mana ile ni sanaa sasa kama haya ya kukariri tu yanakusumbua huko kwingine si itakua tabu zaidi??

Ushauri wangu kwako,
Kabla hujaamua kupeleka mahari jiulize tu kuwa je utaweza kuhimili ndoa ambayo kuna jamaa mwingine anapiga na wewe unajua?? Kama utaweza kustahili oa kiroho safi kama huwezi achana nae mapemaaa
 
Hii nchi ina wadada wazuri wengi mno tena waliotulia. Kubali kumove on kabla hujajitia kitanzi,,,, hatutaki kupoteza nguvu kazi kisa mapenzi
Mimi nikijana nna miaka 27, mwezi wa 1 mwaka huu 2026 nilikutana na bint nikampenda tukaanzisa uhusiano lakini katika muda wote niliyokua nae zaidi ya miezi 7 sijaai kukutana nae kimwili, sababu anaesema yy ni bikra anataka mpk akiolewa ndio afanye akiwa ndani ya ndoa, hila nna muhudumia anachotaka kwani mm nimeajiliwa hila yy kamaliza uhasibu degree hila hajapata ajira bado,sasa weekend hii nilikua nna ahadi nae twende sehemu tukakae tule hila sikumwambia sehemu gani tunayotaka kwenda, lakini akatoa excuse ana matatizo ya kifamily hatotoka,mimi nikampigia simu jamaa yangu tukaenda hyo sehemu cha ajabu tulipofika hyo seemu nikamkuta yy yupo na jamaa mwengine anakula anakunywa, hakuniona na sijamshtua nikakaa mpk nikaondoka sikumshtua, ukizinatia nishapeleka mpk barua na mahali nilipanga kupeleka mwezi huu wa tisa ,usiku nikampigia simu nikamwambia nilipomuona lakini anakataa sio yy lakini mwisho akakubali hila akasema yule ni mume dada yake alikua na kikao akaomba msamaha,nilikua nnaomba ushauri jamani nisamehe tu tuendelee na mipango ya ndoa ukizingatia nishawambia nyumbani mpk tarehe ya kupeleka posa ,naombeni ushauri wenu jamani hii issue imenikalia vibaya maana ndugu ikifika ijumaa taree 2/10/2026 wanaanza kuja kwa ajili ya kupeleka mahali nifanyaje ?nivunje mipango yote au nisamehe maana kinachoniuma zaidi mimi nimekomaliwa miezi kibao kumbe wengine wanakula tu mzigo
 
Bro Kimbia Sana aise. Kama kuna harufu jua mzigo upo.

1: kitendo cha kugoma mzigo hakikubaliki. Omba mzigo then muishie hapo

2: kitendo cha kukataa na baadae kusema ni ndugu yake haipo Sawa kabisa. Kama angekuwa mkweli angekwambia MDA unamwambia muonane

3: waambie wazazi umeghairi au uwambie ukweli. Haijalishi watu watakufoc kiasi gani mke utaishi naye ww sio wao

4: ukioa kuna asilimia 80% ndoa yenu itakuwa na changamoto baadae

5: watu hawabadiliki usije dhani atabadilika ukimuoa

Good luck champ Ustadh tongwe
 
itabidi nifanye hvyo kaka maana ijumaa wanaanza kuja huku nilipo kwa ajili ya hyo shughuli ya kutoa mahali
Ndio mana nasema wewe huna akili, hayo maamuzi sio ya itabidi, ilitakiwa uyafanye the moment umemkuta huyo mwanamke na mwanaume wake, sio swala la kuuliza

Unaonekana ulivo dhaifu ndio mana dem alikua na uwezo wa kukukataa na kutoka na mwanaume mwenye akili
 
Mimi nikijana nna miaka 27, mwezi wa 1 mwaka huu 2026 nilikutana na bint nikampenda tukaanzisa uhusiano lakini katika muda wote niliyokua nae zaidi ya miezi 7 sijaai kukutana nae kimwili, sababu anaesema yy ni bikra anataka mpk akiolewa ndio afanye akiwa ndani ya ndoa, hila nna muhudumia anachotaka kwani mm nimeajiliwa hila yy kamaliza uhasibu degree hila hajapata ajira bado,sasa weekend hii nilikua nna ahadi nae twende sehemu tukakae tule hila sikumwambia sehemu gani tunayotaka kwenda, lakini akatoa excuse ana matatizo ya kifamily hatotoka,mimi nikampigia simu jamaa yangu tukaenda hyo sehemu cha ajabu tulipofika hyo seemu nikamkuta yy yupo na jamaa mwengine anakula anakunywa, hakuniona na sijamshtua nikakaa mpk nikaondoka sikumshtua, ukizinatia nishapeleka mpk barua na mahali nilipanga kupeleka mwezi huu wa tisa ,usiku nikampigia simu nikamwambia nilipomuona lakini anakataa sio yy lakini mwisho akakubali hila akasema yule ni mume dada yake alikua na kikao akaomba msamaha,nilikua nnaomba ushauri jamani nisamehe tu tuendelee na mipango ya ndoa ukizingatia nishawambia nyumbani mpk tarehe ya kupeleka posa ,naombeni ushauri wenu jamani hii issue imenikalia vibaya maana ndugu ikifika ijumaa taree 2/10/2026 wanaanza kuja kwa ajili ya kupeleka mahali nifanyaje ?nivunje mipango yote au nisamehe maana kinachoniuma zaidi mimi nimekomaliwa miezi kibao kumbe wengine wanakula tu mzigo
Pole sana kwa changamoto kwa kifupi ni kwamba huyo Mchumba wako siyo mwaminifu.
 
Back
Top Bottom