Kilaza Wa Bongo
Member
- Aug 10, 2017
- 16
- 28
Kwanza umewahi sana kuoa ngoja dunia ikufundishe
mimi degree holder bro siwezi kushindwa kuandika hii issue imenichanganya sn nipe tu ushauriKwanza kijana rudi shule ukajifunze kuandika.
hila yy
hila nn
Kijana hata kuandika hujui.
Yani unadhihirisha ulivyo zuzu. Kwanzia mwandiko mpaka kwenye mahusiano.
Chukua hio point...achana nae aseeeFuata ukweli ili uwe huru.Pengine Mungu kaamua kukufunulia ukweli maana kaona wewe nimwaminifu
nipe tu ushauri hila usifananishe kuandika na mambo ya kitandani vitu viwli tofauti kama huamini nenda kariakoo tafuta mbeba mizigo mmoja nenda nae kitandani km hutomsahau mume wako,Kuandika ni kitu rahisi sana kama huwezi kuandika vizuri tena hata kwa msaada wa keyboard basi ujue maswala yanayohitaji ufundi ikiwemo kitandani wewe utakuwa zero kabisa
Na hii ndoa we kaoe tu ila sisi tutakuwa hapa tunasubiria nyuzi zako vitunguu vikishazidi machoni
kufanyaje tenatembeleamisikiti ya sunni
umenitukana tu bila ushauri mkuuPumbavu
si kutafuta mke mkuu,kufanyaje tena
Piga chini, msaliti hasamehewi kamwe.umenitukana tu bila ushauri mkuu
😂😂😂 Ushauri wote huo bado unahitaji mwingine??nipe tu ushauri hila usifananishe kuandika na mambo ya kitandani vitu viwli tofauti kama huamini nenda kariakoo tafuta mbeba mizigo mmoja nenda nae kitandani km hutomsahau mume wako,
shukran kwa ushauri wakoPiga chini, msaliti hasamehewi kamwe.
Ungetakiwa ulambwe na kofi zito Pumbavushukran kwa ushauri wako