Wewe sio mwanaume, hapo ulipomuona ukaacha kwenda kumuuliza ukatulia senge wewe, alafu unakuja kuuliza nini hapa na ulishamuona binti yupo na mwanaume wakekaka hili tatizo lingekukuta wewe sidhani hata ungekumbuka vituo
unawezaje kufahamu ndugu wote kaka aneniambia kaka yake saa ingekua rahisiNikajua umemfumania kumbe umemkuta, nina mashaka kwenye mume wa dada yake, mpaka umeamua kupeleka mahari sijui na posa maana yake atleast kwa asilimia kadhaa ndugu zake inawafahamu, huyo jamaa hamfahamu? Kama yamkini huwafahamu ndugu zake basi jiridhishe kabla haujafanya maamuzi yoyote, ila hapo kwenye bikra umepigwa
Mjita kafanyaje Tena nipe link😂
Eh nilisahau kumbe mzee ajaonja kasubirishwa🤣🤣🤣🤣🤣Pole sana kwa Mimi mwanamke aniambie ati Mimi ni bikra tusifanye mpaka ndoa sijawahi kubali hiyo.
Wengi wanaosema mpaka tuoane wanakazwa vizuri na wahuni afu kwako anakunyima. Achana haraka na huyo tapeli
Sasa hapo unataka ushauri au pole...Mimi nikijana nna miaka 27, mwezi wa 1 mwaka huu 2026 nilikutana na bint nikampenda tukaanzisa uhusiano lakini katika muda wote niliyokua nae zaidi ya miezi 7 sijaai kukutana nae kimwili, sababu anaesema yy ni bikra anataka mpk akiolewa ndio afanye akiwa ndani ya ndoa, hila nna muhudumia anachotaka kwani mm nimeajiliwa hila yy kamaliza uhasibu degree hila hajapata ajira bado,sasa weekend hii nilikua nna ahadi nae twende sehemu tukakae tule hila sikumwambia sehemu gani tunayotaka kwenda, lakini akatoa excuse ana matatizo ya kifamily hatotoka,mimi nikampigia simu jamaa yangu tukaenda hyo sehemu cha ajabu tulipofika hyo seemu nikamkuta yy yupo na jamaa mwengine anakula anakunywa, hakuniona na sijamshtua nikakaa mpk nikaondoka sikumshtua, ukizinatia nishapeleka mpk barua na mahali nilipanga kupeleka mwezi huu wa tisa ,usiku nikampigia simu nikamwambia nilipomuona lakini anakataa sio yy lakini mwisho akakubali hila akasema yule ni mume dada yake alikua na kikao akaomba msamaha,nilikua nnaomba ushauri jamani nisamehe tu tuendelee na mipango ya ndoa ukizingatia nishawambia nyumbani mpk tarehe ya kupeleka posa ,naombeni ushauri wenu jamani hii issue imenikalia vibaya maana ndugu ikifika ijumaa taree 2/10/2026 wanaanza kuja kwa ajili ya kupeleka mahali nifanyaje ?nivunje mipango yote au nisamehe maana kinachoniuma zaidi mimi nimekomaliwa miezi kibao kumbe wengine wanakula tu mzigo
Wewe sio mwanaume, hapo ulipomuona ukaacha kwenda kumuuliza ukatulia senge wewe, alafu unakuja kuuliza nini hapa na ulishamuona binti yupo na mwanaume wake
Uliyemkuta nae alikua wa muhimu kuliko wewe ndio maana akatoka nae, na inaonekana wewe mjinga kutokana na maelezo yako ndio maana akachagua kutoka na MWANAUME wewe ukapigwa chini
Na ili kudhihirisha ujinga wako utaenda kutoa mahari
Umemfumania wapi? Wakifanya nini na ni wa Chama gani?Mimi nikijana nna miaka 27, mwezi wa 1 mwaka huu 2026 nilikutana na bint nikampenda tukaanzisa uhusiano lakini katika muda wote niliyokua nae zaidi ya miezi 7 sijaai kukutana nae kimwili, sababu anaesema yy ni bikra anataka mpk akiolewa ndio afanye akiwa ndani ya ndoa, hila nna muhudumia anachotaka kwani mm nimeajiliwa hila yy kamaliza uhasibu degree hila hajapata ajira bado,sasa weekend hii nilikua nna ahadi nae twende sehemu tukakae tule hila sikumwambia sehemu gani tunayotaka kwenda, lakini akatoa excuse ana matatizo ya kifamily hatotoka,mimi nikampigia simu jamaa yangu tukaenda hyo sehemu cha ajabu tulipofika hyo seemu nikamkuta yy yupo na jamaa mwengine anakula anakunywa, hakuniona na sijamshtua nikakaa mpk nikaondoka sikumshtua, ukizinatia nishapeleka mpk barua na mahali nilipanga kupeleka mwezi huu wa tisa ,usiku nikampigia simu nikamwambia nilipomuona lakini anakataa sio yy lakini mwisho akakubali hila akasema yule ni mume dada yake alikua na kikao akaomba msamaha,nilikua nnaomba ushauri jamani nisamehe tu tuendelee na mipango ya ndoa ukizingatia nishawambia nyumbani mpk tarehe ya kupeleka posa ,naombeni ushauri wenu jamani hii issue imenikalia vibaya maana ndugu ikifika ijumaa taree 2/10/2026 wanaanza kuja kwa ajili ya kupeleka mahali nifanyaje ?nivunje mipango yote au nisamehe maana kinachoniuma zaidi mimi nimekomaliwa miezi kibao kumbe wengine wanakula tu mzigo
ushauri kaka nimechanganyikiwa maana wazazi anajua mahali kutoa tarehe 3/10/2026 na kila kitu kishaandaliwaSasa hapo unataka ushauri au pole...
Usimfokee mwenzako hivyo...Weka vituo bwana, tunasoma hadi pumzi inakata.
Umesahau kumpa cheo kingine "walii"Sheikh, Ulamaa, Maalim, Muft
Hapo Oa Tu Msaidiane Kazi Maana Cha Pekee Yako Ni Kaburi Tu
Kitu Kizuri Kula Na Ndugu Zako, Zaa Tia Mimba Chap
Hujasoma Thread Ya Mjita Humu JF
Huyo dada yake unamfahamu?unawezaje kufahamu ndugu wote kaka aneniambia kaka yake saa ingekua rahisi
hapana alikua na mwanaume mwengine mazingira yanaonyesha ni bwanakeUmemkuta analiwa?
Hivyo huwezi kuwaambia wazazi yule mwanamke nimepiga chiniushauri kaka nimechanganyikiwa maana wazazi anajua mahali kutoa tarehe 3/10/2026 na kila kitu kishaandaliwa
dada yake nnamfaamu hila hajaolewa inamaana km shemeji yake ni boyfriend wa dada yakeHuyo dada yake unamfahamu?
Mimi nadhani unahitaji muda zaidi. Usiwe na haraka...Mimi nikijana nna miaka 27, mwezi wa 1 mwaka huu 2026 nilikutana na bint nikampenda tukaanzisa uhusiano lakini katika muda wote niliyokua nae zaidi ya miezi 7 sijaai kukutana nae kimwili, sababu anaesema yy ni bikra anataka mpk akiolewa ndio afanye akiwa ndani ya ndoa, hila nna muhudumia anachotaka kwani mm nimeajiliwa hila yy kamaliza uhasibu degree hila hajapata ajira bado,sasa weekend hii nilikua nna ahadi nae twende sehemu tukakae tule hila sikumwambia sehemu gani tunayotaka kwenda, lakini akatoa excuse ana matatizo ya kifamily hatotoka,mimi nikampigia simu jamaa yangu tukaenda hyo sehemu cha ajabu tulipofika hyo seemu nikamkuta yy yupo na jamaa mwengine anakula anakunywa, hakuniona na sijamshtua nikakaa mpk nikaondoka sikumshtua, ukizinatia nishapeleka mpk barua na mahali nilipanga kupeleka mwezi huu wa tisa ,usiku nikampigia simu nikamwambia nilipomuona lakini anakataa sio yy lakini mwisho akakubali hila akasema yule ni mume dada yake alikua na kikao akaomba msamaha,nilikua nnaomba ushauri jamani nisamehe tu tuendelee na mipango ya ndoa ukizingatia nishawambia nyumbani mpk tarehe ya kupeleka posa ,naombeni ushauri wenu jamani hii issue imenikalia vibaya maana ndugu ikifika ijumaa taree 2/10/2026 wanaanza kuja kwa ajili ya kupeleka mahali nifanyaje ?nivunje mipango yote au nisamehe maana kinachoniuma zaidi mimi nimekomaliwa miezi kibao kumbe wengine wanakula tu mzigo
Piga nyama chini huna mke hapo...ushauri kaka nimechanganyikiwa maana wazazi anajua mahali kutoa tarehe 3/10/2026 na kila kitu kishaandaliwa
itabidi nifanye hvyo kaka maana ijumaa wanaanza kuja huku nilipo kwa ajili ya hyo shughuli ya kutoa mahaliHivyo huwezi kuwaambia wazazi yule mwanamke nimepiga chini
Naona unataka kuwaridhisha wazazi ila huyo mwanamke kama ameweza kukukataa akatoka na mwanaume mwenzako huna chako apo mzee
Kama unataka weka ndani alafu uje hapa na uzi mwingine