Nimemfumania mchumba wangu je nimsamehe niendelee na mipango ya ndoa?

Nimemfumania mchumba wangu je nimsamehe niendelee na mipango ya ndoa?

Wasomi wa AI
Ila=hila

inawezekana vipi mwanafunzi wa chuo akutwe na bikra?
vichwa vyangu vyote viwili vinakuwa vigumu kuelewa.

kwanza, akakana kuwa syo yeye! baada ya kibano akasema ni mme wa dadake

pili, hatoweza kutoka, yeye katoka!

we ni nugu mwamba

fanya yafuatayo

1. fanya ambacho moyo wako unawaza, maana jf haitakuwepo wakati unaumia kwa kugongewa

2. tafuta hela wewe mpumbavu, acha kung'ang'ana kuleta presha ndani ya maisha yako
 
Mtu ushamtolea barua ukashindwa kwenda kumuuliza hapo ulipomuona utaweza kulea familia kweli???
Subiri ukue achana na huyo malaya
Yeye ange enda hata KUWASALIMIA then unaondoka zako

Mmmmh

Sema sword 🗡️ Ina makali pande mbili perhaps mchumba wake yupo sahihi..alikua na mume wa dada yake

NB . Kataa kuuziwa MBUZI KWENYE GUNIA
 
Siku ya barua, mwambie dada yake aje na huyo mume wake au akupe namba ya dada umuulize kuhusu yeye kuwa na mume wa dada yake kwenye siku husiks😛😛😛
 
Siku ya barua, mwambie dada yake aje na huyo mume wake au akupe namba ya dada umuulize kuhusu yeye kuwa na mume wa dada yake kwenye siku husiks😕😕😕😕
 
Huyo sio mwaminifu ni malayer kama malayer wengine, angalia usije ukatoa mahari ndani ya mwezi mmoja mnaachana.....kama kweli alikuwa shemeji yake angenyooka akakwambia ni kweli nilitoka nilikuwa fasi moya ivi na shemeji, ila hata kama ni shemeji wanatokaje wawili kwenda kunywa na kula?
Hakuna mwanamke hapo kama wewe kijana uko serious kuoa
 
kama umeelewa toa ushauri boss mambo ya muandiko achia walimu shuleni huko
Kwahyo tukikushauri urudiane nae utarudiana nae? Acha ULOFA wewe hili sio jambo la kuomba ushauri! Huyo mwanamke kashakuona ZOBA! Unamuhudumia mwanamke alafu humt*mbi we umeona wapi?? Wala huyo binti hana kosa lolote UZOBA wako ndo umewafikisha hapo! Kwa huu ULOFA wako wahuni watakut*mbea mpaka ushangae!
 
Kwanza kabisa,mshukur sn mung maana amekuonyesh njia mapema,in shot huyo sio mke ndg kma unajipend achana nae,me nina miak28 binafs sijisifii ila haw viumbe kw sas nina experience nao y kutosha,mamb ni meng mda mchache,nliwai kupigw tukio ambalo mpak leo ndo kam mwalimu wng wa maish,ila kwa % 100 nlimenijeng sn,wew c umemkuta na mwanaume wameka bad unajipa moyo labda bikira me nlishampig chin binti bikir ambae nlipanga kumuoa baad y kuon anatumia hiy bikr yak kam kinga y kuniendesh,NB:usiniulize nlijuaj km ni BK,me sio mnyonge kma mwanetu.
 
Back
Top Bottom