😀Weka vituo bwana, tunasoma hadi pumzi inakata.
SIKUHIZI HAMNA NDUGU WA KARIBU WENYE HEKIMA MBONA JAMBO JEPESI SANA ULIKAA NA NDUGU ZAKO HASA WAZAZI UKAWAAMBIA HICHO KITU?Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 27. Mwezi Januari 2026 nilikutana na binti mmoja ambaye nilimpenda na tukaamua kuanzisha uhusiano.
Kwa kipindi chote cha zaidi ya miezi saba ambacho tumekuwa kwenye uhusiano, sijawahi kukutana naye kimwili. Sababu anayotoa ni kwamba yeye ni bikira na ameamua kusubiri hadi atakapokuwa ndani ya ndoa ndipo afanye hivyo.
Nimeheshimu msimamo wake na katika kipindi chote hicho nimekuwa nikimhudumia na kumsaidia mahitaji mbalimbali, kwa kuwa mimi nimeajiriwa. Yeye amemaliza Shahada ya Uhasibu, lakini bado hajapata ajira.
Tatizo limetokea weekend hii. Tulikuwa na ahadi ya kwenda sehemu fulani tukakae na kula pamoja. Sikumuambia mapema sehemu tuliyokuwa tunaenda. Baadaye alitoa sababu kwamba ana matatizo ya kifamilia na hataweza kutoka.
Kwa kuwa nilikuwa tayari nimepanga, nikampigia simu rafiki yangu na tukaenda kwenye ile sehemu. Cha kushangaza, nilipofika nikamkuta yupo pale na mwanaume mwingine, wakiwa wamekaa pamoja, wanakula na kunywa. Hakuniona na mimi sikutaka kumshtua. Nilikaa kwa muda, kisha nikaondoka bila yeye kujua kama nilikuwa pale.
Usiku nilimpigia simu na kumweleza kwamba nilimuona. Mwanzoni alikana kwamba hakuwa yeye, lakini baadaye alikubali kuwa alikuwa pale na akasema yule mwanaume alikuwa ni mume wa dada yake, ambaye alikuwa na kikao sehemu hiyo na yeye aliomba msamaha kwa kunificha ukweli.
Kinachoniumiza zaidi ni kwamba mimi nilikuwa tayari nimechukua hatua kubwa. Nimeshawajulisha watu wa nyumbani kuhusu uhusiano huu, nimeandaa mambo ya ndoa na nilipanga kupeleka posa mwezi huu wa Septemba. Ndugu zangu walipaswa kuanza kuja Ijumaa, tarehe 2 Oktoba 2026, kwa ajili ya hatua hiyo.
Sasa nimebaki njia panda. Nimempenda na bado nina hisia kwake, lakini tukio hili limeniumiza na kunifanya nianze kujiuliza kama kweli namwamini.
Naomba ushauri wenu. Je, nimsamehe na tuendelee na mipango ya ndoa, au nisitishe kwanza mipango yote mpaka nitakapokuwa na uhakika na ukweli wa jambo hili?
Kinachoniumiza zaidi ni kwamba nimeheshimu uamuzi wake wa kutotaka kufanya mapenzi kabla ya ndoa kwa miezi yote hii, huku mimi nikimsaidia na kumhudumia kwa kadiri nilivyoweza. Sasa nimejikuta nikijiuliza kama kweli nimekuwa nikijenga uhusiano wa kuelekea kwenye ndoa na mtu ambaye ninaweza kumwamini.
Nifanye nini kabla ya tarehe 2 Oktoba? Naomba ushauri wa kweli, hasa kutoka kwa watu waliowahi kupitia hali kama hii.
cha mbavuNikajua umemfumania kumbe umemkuta, nina mashaka kwenye mume wa dada yake, mpaka umeamua kupeleka mahari sijui na posa maana yake atleast kwa asilimia kadhaa ndugu zake inawafahamu, huyo jamaa hamfahamu? Kama yamkini huwafahamu ndugu zake basi jiridhishe kabla haujafanya maamuzi yoyote, ila hapo kwenye bikra umepigwa
Piga chini huyoMimi ni kijana mwenye umri wa miaka 27. Mwezi Januari 2026 nilikutana na binti mmoja ambaye nilimpenda na tukaamua kuanzisha uhusiano.
Kwa kipindi chote cha zaidi ya miezi saba ambacho tumekuwa kwenye uhusiano, sijawahi kukutana naye kimwili. Sababu anayotoa ni kwamba yeye ni bikira na ameamua kusubiri hadi atakapokuwa ndani ya ndoa ndipo afanye hivyo.
Nimeheshimu msimamo wake na katika kipindi chote hicho nimekuwa nikimhudumia na kumsaidia mahitaji mbalimbali, kwa kuwa mimi nimeajiriwa. Yeye amemaliza Shahada ya Uhasibu, lakini bado hajapata ajira.
Tatizo limetokea weekend hii. Tulikuwa na ahadi ya kwenda sehemu fulani tukakae na kula pamoja. Sikumuambia mapema sehemu tuliyokuwa tunaenda. Baadaye alitoa sababu kwamba ana matatizo ya kifamilia na hataweza kutoka.
Kwa kuwa nilikuwa tayari nimepanga, nikampigia simu rafiki yangu na tukaenda kwenye ile sehemu. Cha kushangaza, nilipofika nikamkuta yupo pale na mwanaume mwingine, wakiwa wamekaa pamoja, wanakula na kunywa. Hakuniona na mimi sikutaka kumshtua. Nilikaa kwa muda, kisha nikaondoka bila yeye kujua kama nilikuwa pale.
Usiku nilimpigia simu na kumweleza kwamba nilimuona. Mwanzoni alikana kwamba hakuwa yeye, lakini baadaye alikubali kuwa alikuwa pale na akasema yule mwanaume alikuwa ni mume wa dada yake, ambaye alikuwa na kikao sehemu hiyo na yeye aliomba msamaha kwa kunificha ukweli.
Kinachoniumiza zaidi ni kwamba mimi nilikuwa tayari nimechukua hatua kubwa. Nimeshawajulisha watu wa nyumbani kuhusu uhusiano huu, nimeandaa mambo ya ndoa na nilipanga kupeleka posa mwezi huu wa Septemba. Ndugu zangu walipaswa kuanza kuja Ijumaa, tarehe 2 Oktoba 2026, kwa ajili ya hatua hiyo.
Sasa nimebaki njia panda. Nimempenda na bado nina hisia kwake, lakini tukio hili limeniumiza na kunifanya nianze kujiuliza kama kweli namwamini.
Naomba ushauri wenu. Je, nimsamehe na tuendelee na mipango ya ndoa, au nisitishe kwanza mipango yote mpaka nitakapokuwa na uhakika na ukweli wa jambo hili?
Kinachoniumiza zaidi ni kwamba nimeheshimu uamuzi wake wa kutotaka kufanya mapenzi kabla ya ndoa kwa miezi yote hii, huku mimi nikimsaidia na kumhudumia kwa kadiri nilivyoweza. Sasa nimejikuta nikijiuliza kama kweli nimekuwa nikijenga uhusiano wa kuelekea kwenye ndoa na mtu ambaye ninaweza kumwamini.
Nifanye nini kabla ya tarehe 2 Oktoba? Naomba ushauri wa kweli, hasa kutoka kwa watu waliowahi kupitia hali kama hii.
Atatoa visingizio hatariYaan hapo mwambie Ili umsamehe akutunuku uhakikishe kama kweli bikra au ni laah ,,la sivyo unaenda kuuziwa mbuzi kwenye gunia
TrueWewe sio mwanaume, hapo ulipomuona ukaacha kwenda kumuuliza ukatulia senge wewe, alafu unakuja kuuliza nini hapa na ulishamuona binti yupo na mwanaume wake
Uliyemkuta nae alikua wa muhimu kuliko wewe ndio maana akatoka nae, na inaonekana wewe mjinga kutokana na maelezo yako ndio maana akachagua kutoka na MWANAUME wewe ukapigwa chini
Na ili kudhihirisha ujinga wako utaenda kutoa mahari
wewe unaelimu gani maana UPUMBAVU wako uko juu sana.Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 27. Mwezi Januari 2026 nilikutana na binti mmoja ambaye nilimpenda na tukaamua kuanzisha uhusiano.
Kwa kipindi chote cha zaidi ya miezi saba ambacho tumekuwa kwenye uhusiano, sijawahi kukutana naye kimwili. Sababu anayotoa ni kwamba yeye ni bikira na ameamua kusubiri hadi atakapokuwa ndani ya ndoa ndipo afanye hivyo.
Nimeheshimu msimamo wake na katika kipindi chote hicho nimekuwa nikimhudumia na kumsaidia mahitaji mbalimbali, kwa kuwa mimi nimeajiriwa. Yeye amemaliza Shahada ya Uhasibu, lakini bado hajapata ajira.
Tatizo limetokea weekend hii. Tulikuwa na ahadi ya kwenda sehemu fulani tukakae na kula pamoja. Sikumuambia mapema sehemu tuliyokuwa tunaenda. Baadaye alitoa sababu kwamba ana matatizo ya kifamilia na hataweza kutoka.
Kwa kuwa nilikuwa tayari nimepanga, nikampigia simu rafiki yangu na tukaenda kwenye ile sehemu. Cha kushangaza, nilipofika nikamkuta yupo pale na mwanaume mwingine, wakiwa wamekaa pamoja, wanakula na kunywa. Hakuniona na mimi sikutaka kumshtua. Nilikaa kwa muda, kisha nikaondoka bila yeye kujua kama nilikuwa pale.
Usiku nilimpigia simu na kumweleza kwamba nilimuona. Mwanzoni alikana kwamba hakuwa yeye, lakini baadaye alikubali kuwa alikuwa pale na akasema yule mwanaume alikuwa ni mume wa dada yake, ambaye alikuwa na kikao sehemu hiyo na yeye aliomba msamaha kwa kunificha ukweli.
Kinachoniumiza zaidi ni kwamba mimi nilikuwa tayari nimechukua hatua kubwa. Nimeshawajulisha watu wa nyumbani kuhusu uhusiano huu, nimeandaa mambo ya ndoa na nilipanga kupeleka posa mwezi huu wa Septemba. Ndugu zangu walipaswa kuanza kuja Ijumaa, tarehe 2 Oktoba 2026, kwa ajili ya hatua hiyo.
Sasa nimebaki njia panda. Nimempenda na bado nina hisia kwake, lakini tukio hili limeniumiza na kunifanya nianze kujiuliza kama kweli namwamini.
Naomba ushauri wenu. Je, nimsamehe na tuendelee na mipango ya ndoa, au nisitishe kwanza mipango yote mpaka nitakapokuwa na uhakika na ukweli wa jambo hili?
Kinachoniumiza zaidi ni kwamba nimeheshimu uamuzi wake wa kutotaka kufanya mapenzi kabla ya ndoa kwa miezi yote hii, huku mimi nikimsaidia na kumhudumia kwa kadiri nilivyoweza. Sasa nimejikuta nikijiuliza kama kweli nimekuwa nikijenga uhusiano wa kuelekea kwenye ndoa na mtu ambaye ninaweza kumwamini.
Nifanye nini kabla ya tarehe 2 Oktoba? Naomba ushauri wa kweli, hasa kutoka kwa watu waliowahi kupitia hali kama hii.
""Samia suluhu mitano tena 2025-2030""ushauri kaka umenitukana tu hujatoa ushauri
Kama hujawahi fanyanae mapenzi hizo hisia ulizonazo ni hisia za kirafiki kwa hiyo usiumie kwa kumkuta na mwanaume mwengine.Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 27. Mwezi Januari 2026 nilikutana na binti mmoja ambaye nilimpenda na tukaamua kuanzisha uhusiano.