Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nafaa kua detectiveKabla ya watu kukupa ushauri ni vema wakapitia huu Uzi ili kujua wanatoa ushauri kwa mtu wa aina gani https://www.jamiiforums.com/index.php?threads/1716678/
Ni hayo tu
Dah maumivu uliyo nayo hata haina mfano ila kulia sio dawa,, dawa pekee Ni kukumbuka tu kuwa kisichoridhiki hakiliki maisha yanatakiwa kuendelea!!Ni huzuni,majonzi si ya kuondokewa na mtu wangu wa karibu la hasha,ni masaibu niliyokutana nayo leo alfajiri.
Mama mdogo ana wiki 4 tangu aje kunisalimia,ni mtu wa makamo miaka 38,ila ameachika amekuja kwangu akae atafute kibarua.
Boy wangu naye kaja kwangu ana wiki moja hivi,lakini cha kushangaza wameishazoeana na mama mdogo hadi wameamua kunisaliti.
Asubuhi sana alfajiri niliwahi kazini,lakni nilipofika kazini nikawa nimesahau document moja ambapo nilichukua boda na kunirejesha nyumbani.
Kwa kuwa mama mdogo ndiye analala chumba kilichopo karibu na geti nikaenda dirishani kumuita,lakin bahati mbaya sana kuna upenyo wa pazia ,nikawakuta wanasex live ,nikahisi akili kuruka nikapiga piga dirisha hadi kioo kikapasuka.
Baadae niliwataka wanifungulie mlango wakagoma,nikataka nipige yowe ila nikaondoka pale kwangu nikaenda kwa rafiki yangu kukaapo huku nalia.
Baadae nikarudi kwangu nikakuta wamefunga mlango wameondoka.
Ndo nimeamini Kauli ya mkuu wa Mkoa wa Mbeya, kweli wanaume ni ndugu zake shetani.
Maumivu niliyo nayo mungu ndo anajua.
Kaburi limefukuliwa.Kabla ya watu kukupa ushauri ni vema wakapitia huu Uzi ili kujua wanatoa ushauri kwa mtu wa aina gani https://www.jamiiforums.com/index.php?threads/1716678/
Ni hayo tu
Kuchapiwa ni Siri ya Ndani,Sasa wwe umechapiwa na Mama Mdogo unakuja juu,je ungechpuwa na Shoga yako ingekuwaje!?Ni huzuni,majonzi si ya kuondokewa na mtu wangu wa karibu la hasha,ni masaibu niliyokutana nayo leo alfajiri.
Mama mdogo ana wiki 4 tangu aje kunisalimia,ni mtu wa makamo miaka 38,ila ameachika amekuja kwangu akae atafute kibarua.
Boy wangu naye kaja kwangu ana wiki moja hivi,lakini cha kushangaza wameishazoeana na mama mdogo hadi wameamua kunisaliti.
Asubuhi sana alfajiri niliwahi kazini,lakni nilipofika kazini nikawa nimesahau document moja ambapo nilichukua boda na kunirejesha nyumbani.
Kwa kuwa mama mdogo ndiye analala chumba kilichopo karibu na geti nikaenda dirishani kumuita,lakin bahati mbaya sana kuna upenyo wa pazia ,nikawakuta wanasex live ,nikahisi akili kuruka nikapiga piga dirisha hadi kioo kikapasuka.
Baadae niliwataka wanifungulie mlango wakagoma,nikataka nipige yowe ila nikaondoka pale kwangu nikaenda kwa rafiki yangu kukaapo huku nalia.
Baadae nikarudi kwangu nikakuta wamefunga mlango wameondoka.
Ndo nimeamini Kauli ya mkuu wa Mkoa wa Mbeya, kweli wanaume ni ndugu zake shetani.
Maumivu niliyo nayo mungu ndo anajua.
Kunajmaa kaapost kuna link ya huy alietoa hii thread muhn nae chek juu kabisa na jamaa katadhalissha kabla ya kumpa ushauri som kwanzSomething is wrong somewhere, si kwamba natetea uovu, la hasha. Wanawake sometimes mnazingua tena sana. Unaweza kunyima bila sababu, au kutoa ili mradi tu kumridhisha Mme. Kha, umelala km gogo, ndo nini.. Tena umeona kabisa dalili wamezoeana ndani ya muda mfupi, ulitakiwa unajiongeza, MPE mzigo tena ufundi juu.. Huo muda wa kuchepuka atawaza SAA ngp. Opportunists watawatesa sana, endeleeni kuwa rigid.. na wanaume walivyo wa tamaa tamaa. Watachepuka sana tu
Ni huzuni,majonzi si ya kuondokewa na mtu wangu wa karibu la hasha,ni masaibu niliyokutana nayo leo alfajiri.
Mama mdogo ana wiki 4 tangu aje kunisalimia,ni mtu wa makamo miaka 38,ila ameachika amekuja kwangu akae atafute kibarua.
Boy wangu naye kaja kwangu ana wiki moja hivi,lakini cha kushangaza wameishazoeana na mama mdogo hadi wameamua kunisaliti.
Asubuhi sana alfajiri niliwahi kazini,lakni nilipofika kazini nikawa nimesahau document moja ambapo nilichukua boda na kunirejesha nyumbani.
Kwa kuwa mama mdogo ndiye analala chumba kilichopo karibu na geti nikaenda dirishani kumuita,lakin bahati mbaya sana kuna upenyo wa pazia ,nikawakuta wanasex live ,nikahisi akili kuruka nikapiga piga dirisha hadi kioo kikapasuka.
Baadae niliwataka wanifungulie mlango wakagoma,nikataka nipige yowe ila nikaondoka pale kwangu nikaenda kwa rafiki yangu kukaapo huku nalia.
Baadae nikarudi kwangu nikakuta wamefunga mlango wameondoka.
Ndo nimeamini Kauli ya mkuu wa Mkoa wa Mbeya, kweli wanaume ni ndugu zake shetani.
Maumivu niliyo nayo mungu ndo anajua.
Hivi wewe si niliwahi kukuomba mchezo ukagoma?.Ungejua ungenikubalia tu mimi.Sikwami mkuu,kila kitu nampa
😂😂😂😂😂😂😂 walayi jf sihamiKabla ya watu kukupa ushauri ni vema wakapitia huu Uzi ili kujua wanatoa ushauri kwa mtu wa aina gani https://www.jamiiforums.com/index.php?threads/1716678/
Ni hayo tu
😂😂Kwa nini ulisahau document nyumbani? Makosa ni yako. [emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app