Nimemfumania mpenzi wangu akiwa na mama yangu mdogo

Wewe na story zako hizi, andika kitabu tutanunua.
 
Hizi stori ni za kutunga lakini hata hivyo ngoja nicomment.

Kwa vile mama yako mdogo mwenyewe yuko 38 hata mimi ningemgonga!!​

Sipendi masihara kwenye vitu vya utani.
 
Ni huzuni,majonzi si ya kuondokewa na mtu wangu wa karibu la hasha,ni masaibu niliyokutana nayo leo alfajiri.

Mama mdogo ana wiki 4 tangu aje kunisalimia,ni mtu wa makamo miaka 38,ila ameachika amekuja kwangu akae atafute kibarua.

Boy wangu naye kaja kwangu ana wiki moja hivi,lakini cha kushangaza wameishazoeana na mama mdogo hadi wameamua kunisaliti.

Asubuhi sana alfajiri niliwahi kazini,lakni nilipofika kazini nikawa nimesahau document moja ambapo nilichukua boda na kunirejesha nyumbani.

Kwa kuwa mama mdogo ndiye analala chumba kilichopo karibu na geti nikaenda dirishani kumuita,lakin bahati mbaya sana kuna upenyo wa pazia ,nikawakuta wanasex live ,nikahisi akili kuruka nikapiga piga dirisha hadi kioo kikapasuka.

Baadae niliwataka wanifungulie mlango wakagoma,nikataka nipige yowe ila nikaondoka pale kwangu nikaenda kwa rafiki yangu kukaapo huku nalia.

Baadae nikarudi kwangu nikakuta wamefunga mlango wameondoka.

Ndo nimeamini Kauli ya mkuu wa Mkoa wa Mbeya, kweli wanaume ni ndugu zake shetani.

Maumivu niliyo nayo mungu ndo anajua.
Dah maumivu uliyo nayo hata haina mfano ila kulia sio dawa,, dawa pekee Ni kukumbuka tu kuwa kisichoridhiki hakiliki maisha yanatakiwa kuendelea!!
 
Sema umefurahia walivyokuwa wanafanya ungekuja kuandika hapa hukosei hata herufi moja hapana
 
Ni huzuni,majonzi si ya kuondokewa na mtu wangu wa karibu la hasha,ni masaibu niliyokutana nayo leo alfajiri.

Mama mdogo ana wiki 4 tangu aje kunisalimia,ni mtu wa makamo miaka 38,ila ameachika amekuja kwangu akae atafute kibarua.

Boy wangu naye kaja kwangu ana wiki moja hivi,lakini cha kushangaza wameishazoeana na mama mdogo hadi wameamua kunisaliti.

Asubuhi sana alfajiri niliwahi kazini,lakni nilipofika kazini nikawa nimesahau document moja ambapo nilichukua boda na kunirejesha nyumbani.

Kwa kuwa mama mdogo ndiye analala chumba kilichopo karibu na geti nikaenda dirishani kumuita,lakin bahati mbaya sana kuna upenyo wa pazia ,nikawakuta wanasex live ,nikahisi akili kuruka nikapiga piga dirisha hadi kioo kikapasuka.

Baadae niliwataka wanifungulie mlango wakagoma,nikataka nipige yowe ila nikaondoka pale kwangu nikaenda kwa rafiki yangu kukaapo huku nalia.

Baadae nikarudi kwangu nikakuta wamefunga mlango wameondoka.

Ndo nimeamini Kauli ya mkuu wa Mkoa wa Mbeya, kweli wanaume ni ndugu zake shetani.

Maumivu niliyo nayo mungu ndo anajua.
Kuchapiwa ni Siri ya Ndani,Sasa wwe umechapiwa na Mama Mdogo unakuja juu,je ungechpuwa na Shoga yako ingekuwaje!?
 
Mm hapo simlaumu boy wako hata kidogo ikiwezekana mtafute umuulize kuwa Kama anakupenda au laa. Mm sioni Kama jamaa anatakiwa kuachwa kwa sababu jamaa ni mdogo kwa mamamdogo lazima asingeweza kutumia siku mmoja mkutongoza. Pili umemkuta chumbani mwa mama mdogo wako
 
Hii ndo shida ya kuwa na mwanaume asiyejishughulisha unategemea nn hapo wacha ajisevie tu
 
Something is wrong somewhere, si kwamba natetea uovu, la hasha. Wanawake sometimes mnazingua tena sana. Unaweza kunyima bila sababu, au kutoa ili mradi tu kumridhisha Mme. Kha, umelala km gogo, ndo nini.. Tena umeona kabisa dalili wamezoeana ndani ya muda mfupi, ulitakiwa unajiongeza, MPE mzigo tena ufundi juu.. Huo muda wa kuchepuka atawaza SAA ngp. Opportunists watawatesa sana, endeleeni kuwa rigid.. na wanaume walivyo wa tamaa tamaa. Watachepuka sana tu
Kunajmaa kaapost kuna link ya huy alietoa hii thread muhn nae chek juu kabisa na jamaa katadhalissha kabla ya kumpa ushauri som kwanz
 
Ni huzuni,majonzi si ya kuondokewa na mtu wangu wa karibu la hasha,ni masaibu niliyokutana nayo leo alfajiri.

Mama mdogo ana wiki 4 tangu aje kunisalimia,ni mtu wa makamo miaka 38,ila ameachika amekuja kwangu akae atafute kibarua.

Boy wangu naye kaja kwangu ana wiki moja hivi,lakini cha kushangaza wameishazoeana na mama mdogo hadi wameamua kunisaliti.

Asubuhi sana alfajiri niliwahi kazini,lakni nilipofika kazini nikawa nimesahau document moja ambapo nilichukua boda na kunirejesha nyumbani.

Kwa kuwa mama mdogo ndiye analala chumba kilichopo karibu na geti nikaenda dirishani kumuita,lakin bahati mbaya sana kuna upenyo wa pazia ,nikawakuta wanasex live ,nikahisi akili kuruka nikapiga piga dirisha hadi kioo kikapasuka.

Baadae niliwataka wanifungulie mlango wakagoma,nikataka nipige yowe ila nikaondoka pale kwangu nikaenda kwa rafiki yangu kukaapo huku nalia.

Baadae nikarudi kwangu nikakuta wamefunga mlango wameondoka.

Ndo nimeamini Kauli ya mkuu wa Mkoa wa Mbeya, kweli wanaume ni ndugu zake shetani.

Maumivu niliyo nayo mungu ndo anajua.

Kastori kazuri kanadhaminiwa na JF jukwaa la mapenzi na mahusiano
 
Back
Top Bottom