Nimemfumania rasmi mke wa jirani yangu akiliwa na bosi wake kwa mara ya pili

katika mambo ambayo sitakaa nifanye ni pamoja na hilo la kumwambia mtu kuwa anasalitiwa. Enzi ya ujana nilimwambia mtu wangu wa karibu, urafiki ulikufa na hatukusalimiana miaka ya kutosha. Akili ilipomrudia, ilikuwa too late, na mimi nilizima mazima. maana jamaa alinipa za uso hadi sikuamini. kuwa makini
 
Kumbe
 
Word

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuwa nakoromea mkuu .achana nahizo habari kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
potezea tu mkuu maana ukisema leo afu kesho unawakuta pamoja aibu ni kwako ya wanandoa waachie wanandoa
 
Mleta uzi unaonekana mmbea mmbea sana wewe, ubuyu huutafuti unakufwata mwenyewe[emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…