Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Kausha wewe, wanaume huwa hatusemi mambo kama hayo
sent from my Tecno W3
sent from my Tecno W3
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sure,manake leo kampokea airport,wanaishi sehemu inayobomolewa,mke wake alisoma sua,ofisi ziko mwenge,anamuita kaka ndugu ila sio wa damu,KAMA HUYO KAKA YAKO NI MEMBER WA JF KWA MAENEO HAYO MATATU ANAKUWA KASHAJUA UKWEL
Kumbekatika mambo ambayo sitakaa nifanye ni pamoja na hilo la kumwambia mtu kuwa anasalitiwa. Enzi ya ujana nilimwambia mtu wangu wa karibu, urafiki ulikufa na hatukusalimiana miaka ya kutosha. Akili ilipomrudia, ilikuwa too late, na mimi nilizima mazima. maana jamaa alinipa za uso hadi sikuamini. kuwa makini
nawe ndo unatabia za kuchepuka kama hyo mke WA mtu
Wordkatika mambo ambayo sitakaa nifanye ni pamoja na hilo la kumwambia mtu kuwa anasalitiwa. Enzi ya ujana nilimwambia mtu wangu wa karibu, urafiki ulikufa na hatukusalimiana miaka ya kutosha. Akili ilipomrudia, ilikuwa too late, na mimi nilizima mazima. maana jamaa alinipa za uso hadi sikuamini. kuwa makini
Kuwa nakoromea mkuu .achana nahizo habari kabisa.nduguu zangu aisee unaweza kukata tamaa mke wako asifanye kazi yeyote abaki nyumbani tu,
mi nakaa mitaa flani wanapobomoa bomoa uku dsm, kuna jirani yangu anafanya kazi uhamiaji na ni mtu mzito kweli pale, huyu kaka namuita ndugu japo si damu moja, lakin kanisaidia sana maishani,
alioa mwanamke ambaye kwa kipindi anaolewa alikuwa kamaliza SUA, kumbe alipomaliza shule akaanza kusambaza cv alikutana na vikwazo kibao hasa ikiwemo bosi kutaka malipo ya mrabaha
, siku moja nikaenda maeneo ya mwenge maana ndo anafanyia kazi huyo mwanamke sitataja ofisi, nikaingia hotelin pale maana nilikuwa na wageni nikafika pale nikakutana na huyun shemeji yangu anatoka pale hotelin akiwa na mwanaume, baada ya kuniona alishtuka sana , akanitambulisha kuwa yule ni boss wake, na akamwambia bossi kuwa mi jrani yake, nikajua kuna linaloendelea , kwa bahati nzuri sikumwambia mme wake yaan kaka yangu huyo, siku ilofuata shemeji akanifuata akaniambia kama kuna lolote nili notice nikaushe maana huyo ndo bossi wake na anaweza kumfukuza angemkatalia kukutana naye pale ila alisema kuwa hawakufanya jambo ilikuwa ni mazungumzo tu, ok
sasa huyu mme wake wakapata safari kikazi kwenda ------ walikaa miezi kadhaa, katika mizunguko yangu ofisi za manispaa nikakutana na yule bosi tena akanikumbuka , tukaongea sana ila sikuuliza chochote juu ya shemeji yangu,
akauliza nafanya kazi gani tukatambulishana, ikaonekana kumbe kazi yangu ningeweza kumsaidia jambo pale ofisini akasema atanipigia one day,
tukapanga kwamba shughuli yake ningeifanya weekend maana ndo nilikuwa free akasema nami nakuwa free utakuja tukapanga jumamosi jion.maana alisema kama si jumamosi basi jumapili, nikaamua kwenda jumapili nikijua ntamkuta tu maana alikuwa free hadi jumapili, nikafika nikakuta ofisi imefungwa lakin mlinzi akanambia labda nimsubirie kwenye benchi ya pale nje, maana atakuwa ofisi nyingineyo miongoni mwa ofis za ndani, nikapiga simu imezimwa nikasema ngoja nimsubiri, lakin nikaenda msalani , wakati naenda nikaona kama tobo fulani unaweza ona ndani alafu kama vile kuna mtu, nikaamua kuchungulia, mwanamke sikuweza kumtambua haraka maana alikuwa kakaa mezani katoa nguo za chini kaamuangalia mwanaume aliyeshusha suruali kidogo, kama ka mlegezo fulani hivi, alafu mwanamke anafanya action ya kujisukumiza kwa mwanume , niliishiwa mood nikasema na hivi ni weekend ngoja naichek hii movie, nikasikia kama mtu anakuja msalani nikatoka haraka nikarudi kwenye seat ile, baadae naona mlango unafunguliwa kidogo kidogo kama wanachungulia, eee kuangalia ni mke wa jiran yangu, kaka yangu ,rafiki yangu,
tokea jumapili mpaka now najiuliza inakuiwaje, tena mi ndo nimemfuata kaka airpot leo kafika , ila sikumwabia kitu, ila nadhani kahisi jambo maana kama vile sikuwa sawa,
mimi sijui nimwambie sijui niwaache?
maana huyu mwanaume ndo alikuwa anamsapoti ata kwenye ada SUA, kamlipia mama yake alikuwa na kesi kidogo nyumba yake iuzwe , kamlipia million 7 na kumaliza kesi, anasaidia wadogo zake mke wake, lakini haridhiki,
shemeji yangu alikuwa na aibu kuniangaliaq usoni , ila leo kapiga simu eti ana mazungumzo na mimi kabla sijaongea chochote na mme wake,
kwakweli nahisi huyu kaka akija kujua nilijua nikamficha itakuwa shida, maana ipo siku mwanamke anaweza fanya jambo akawekwa mtu kati akasema nisamehe hata shemeji ..... anajua alitukuta,
lakini nahisi ikimshauri ntavunja ndoa,