Nimemfumania zaidi ya mara tatu na kusamehe, nimemuambia kumuoa anakataa

mimi nilichogundua ni kuwa huyo demu ni fundi wa mapenzi kitandani hivyo jamaa hana ujanja,ila all in all he is among the dumbest person in JF maana tatizo analijua na anashindwa kulitatua,poor him.
 
Wewe ushasema alikua akatwa Malinda na wewe ukavutuwa nae ukaanza kua inzi wa kijani endeleni tu na mambo sodoma
 
WW ni moja ya wanamme dhaifu sana,

Kama ungekuwa,ndugu yangu ningekufanya kitu wallah tena, huyo mwanamke ukitaka atulie mle tigo, lkn tambua kufanya hivi ni chukizo mbele za mungu
 
Ayaaa ushawekwa kwenye chupa........una uhakika huyo mtoto ni wako ?
 
Ukimlazimisha sana kumuoa, na akakukubalia usiache kutuelekeza wapo nyumba yako ya milele unapenda ukalazwe
 
Jitafakari Sanaa, jitathmini sana kama huna ugonjwa wowte kichwani (ashakumi si matusi), sikutegemea kama mtu mzima wa miaka 37 anaweza kuzembea na kutofikiri sawa sawa kama hivyo, miaka michache ww na huyo bibie mnaenda kuwa wazee then unapoteza muda wako kirahisi hivyo...aisee, JITATHMINI sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…