Nimemfungulia wife biashara ndogo tu! Ila naona kama ishaanza kumpa jeuri Najutaaa

Wanawake wengi ni wabinafsi kwa waume wao na ndoto yao kubwa ni kuwa na pesa zake binafsi.

Hata kama anaingiza hela lakini jukumu la kuhudumia familia anajua ni la mwanaume, usiguse hela yake, atakununia huyo!

Wale wanawake waajiriwa ndiyo kabisaa. Ukipiga show mbaya, hugusi hata mia.

Suluhisho;
Kabla ya kumfungulia mwanamke biashara, kaa nae chini mwambie hii ni biashara ya familia, lazima tushirikishane kila kinachoendelea.

Mpe uhuru wa kuzitumia hizo pesa kwa matumizi yake na ya familia yenu kwa ujumla.

Hata lakshari ishu zake awe huru kuzitumia mana wanawake huwa wanaridhikila na vitu vidogo vidogo, kikubwa tathmini ya biashara ya familia ni muhimu muifanye kwa pamoja na awe muwazi.

Kuhusu kuwatumia ndugu zake; hakikisha unampa uhuru wa kukueleza shida za nyumbani kwao na kwenu. Mnakaaa chini mnajadiliana na mnatoa, mana familia yake ikiwa na shida na wewe unabana lazima atakosa raha na wewe utakosa utamu vizuri.

Kikubwa muwe tayari kuwasaidia ndugu zenu kwa pamoja. Tabia mbaya mme au mke unatuma hela kwa ndugu zako kificho! Hii husababisha hasa mke akuibie
 
Sio wote mkuu, kama hukubahatika kupata mke sahihi basi endelea tu kutafuta, mm nina mke ambae ni mwajiriwa...hata apate shilingi ngapi atakuja kukubwagia zote hapo, wewe pangia mipango yako Wala husikii akikuhoji..hata akitaka kutuma hela Kwa ndugu zake lazima akushirikishe wakati pesa ni zake..jambo hilo limefanya hata mm niwe transparent kwenye mambo ya pesa kiasi cha kutokuwa na hofu yoyote! na sasa pesa zake nimeamua kumuachi afanyie akitakacho huku nikiwa namlipa mshahara zaidi toka kwenye biashara za familia anazoshiriki kusimamia...pamoja na yote hayo bado utaona pesa nyingi anarudisha kwenye matumizi ya hapa na pale ya familia...LET'S NOT GENERALIZE COZ WAPO WANAOJITAMBUA.
 
Jikaze tu..... Wataifaidi wanao..... Hiyo kitu ipo sana tu... Wenzio tulisha wahi kabidhi hadi kadi za benki na password yake..... Yaliyo tukuta hatuwezi rudia tena makosa hayo..... Ali dumu na kadi ya benki kwa miezi mitatu tu..... Baada ya hapo ikabidi nibadilishe utaratibu bila yeye kujua.....
 
Ntext time unatakiwa kufungua biashara Yenye Majina yako, Na huyo Mke wako una muajiri kama mfanya kazi.

Akizingua unamtimua anarudi nyumbani
 

Usimuongeze nguvu mwanamke. Tumia alizonazo.
 


Naludia na kukazia tena 👉 mwanamke alifanywa kwa mwanaume mwenye akili basi


Mwanaume Kama huna Akili huwezi kuishi na mwanamke yoyote kamwe kwanini? B'se mwanamke amepewa nafasi ya kuelewa mambo na vitu mbalimbali ndani yake That's why anadai Akili


Hitaji la msingi la Mwanamke kwa mwanaume ni Akili.... Mwanamke anaedai vitu au mali huyo sio mwanamke anajina lake 👉kahaba /Malaya
 
Kwanini upunguze buku mkuu? Katika hela uliyoipata? Alafu baadae unakuja kusema utajiri wa nchi hii uko wa watu wajamii zaki Asian kumbe wewe money management yako haikk vizuri
 

Hivyo ndivyo watibeli tulivyo.

Mwanamke uliyezaa naye jukumu lake la msingi keshalifanya. Yeye akitaka kuondoka aondoke wala usimzuie.

Mambo ya kupangia pangia watu wazima ni sehemu ya magonjwa ya Akili.

Akiondoka aondoke. Tafuta kibinti kingine kama unashida lakini
 
Mkuu kuna sehemu nime- generalize?
 
Ndo inavyotakiwa mzee, kujisahau sana kwa mwanamke unaweza kuja kupigwa Knockout kwenye kipindi ambacho kila kitu umewekeza kwake.

Most of women are loyal and submissive to their men coz they don't have a reliable alternative.

Wanapopata uhuru wa kifedha huonesha uhalisia wao.
 


Hi Fikira mkuu itakupeleka kaburini mapema sana B'se utakuwa unaifisha nishati Yako mwenyewe bila kujua yaani unakuwa unaipunguza ubora na mwisho wa siku itashindwa kuudrive huo mwili na hapo ndipo itakuwa mwisho wako

Ni vile hatufahamu kwasababu ya unyama tulio nao lakini hakika moja ya kiumbe HATARI juu ya ardhi hi ni mwanamke na ukienda vibaya kwa mwanamke atakuangusha na kukufisha na hutoweza kuinuka kamwe na uzao wako wote
 
Watibeli ndo nini?? nalisikia sana hili neno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…