Nimemfungulia wife biashara ndogo tu! Ila naona kama ishaanza kumpa jeuri Najutaaa

Mwanaume hutafuta hela ili wale wategemezi wake wapate ahueni ya maisha.
Wanawake hutafuta hela kwa dhana ya kuonyesha wanaweza kujitegemea...
 
Hahah,mindset ya kisomi...aisee pole mkuu, mwanamke inabidi umzidi kila kitu ndio atatulia..

Naoa mwaka huu, huyu nataka asiwe na kazi wala biashara..

Hawana akili hawa watu
Ndio maana Mwanaume ndio awe mtawala siku hiz na wao wanataka kubadilisha
 
Bado hujajuta utajuta vizuri siku zijazo
 
Mke ofisi yake ni jikoniulitakiwa umtengenezee jiko zuri lakisasa.
Na kiti cha kuzunguka.
Uo ni ukweli tunaojaribu kujipumbaza
 
UTAKOMA!!!!...
 
Hapo hapo anasahau kua mtaji ni wangu,Wateja wote 90% ni wangu nimemuachia kifupi kalibia kila kitu ni changu.
Unatakiwa umsifie kwa sababu anajali thamani ya kitu ulichomuanzishia. Hataki kitu hicho kife. Sasa kama anatumia lugha za kuudhi hilo ni kosa anatakiwa akueleze kwa staha.
 
Hapo ni matunda tu, hawa wakae tu nyumbani...hahah
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kuna muda akili huwa inaniambia nikitaka kuoa ni bora nioe malaya aliyekubuhu ili nijiandae kiakili juu ya lolote ambalo linaweza tokea, daah..
 
https://www.facebook.com/
View: https://web.facebook.com/reel/699512419373877
 

Kuna strategy tofauti, moja nzuri ni kumuajili.


Yaani biashara inakuwa yako, akifanya kazi mnahesabu faida. Mwisho wa wiki ama mwisho wa mwezi unamlipa sehemu ya faida (maybe 50%, ama 60% ama 70%).

Hiyo itakujulisha kama naye pia anayo akili ya biashara maana utaona anavyotumia huo 'mshahara' unaomlipa.


Pole sana mkuu
 
Sioni kosa la mwanamke wako wewe ndio unashida mkuu,mwanamke wako anasimamia principles za biashara ili iende vizuri huwezi kuchukua au kukopesha hovyohovyo au kuchukua pesa bila utaratibu hiyo sio discipline ya biashara.
NB:Biashara inahitaji ukatili ili uweze kufanikiwa.
 
Mature comment ever.
 
🀣🀣🀣 wangu katimuliwa kazi ilyokua inampa jeuri sa iv kawa mpole kama kobe .. na namwekea vikwazo kila pande asipaye kazi kwanza kwa ss mpaka akili imkae sawaπŸ˜… nilicheka sana
 
Baba mkwe aliwahi kunambia kwamba

Hakikisha binti yangu hakuzidi hela uniona anakuzidi Fanya namna yeyote kumporomosha ili akutegemee

Na ni rahisi tu, Una mrubuni anunue gari tena unahakikisha gari ni bovu bovu hvi kioa siku anashinda nalo Garage.

Akija kushtuka tayari 3 - 1
 
Vihela vyenu vya masimangoo mpaka basi
Yaniii...!!! Nimeshangaa sana kwa kweli! Kumbe ili uolewe unatakiwa uwe kapuku? Tena uwe na mindset ya kimasikini...ukiwa na mipango ya kujiendeleza zaidi eti una kiburi. Utamdharau mumeo? Bado ukifanya hayo yote wanakuolea mke wa pili au michepuko kila Kona na kwa sababu huna kitu uvumilie tuu kulea watoto?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…