Huko kutawala kwenyewe mnaweza Sasa! Unakuta jitu halijiwezi ...Yani anapata changamoto kidogo tuu ndo baaasiii hawezi tena kujipambania! Ndo ukae unategemea watu wa hivyo?Ndio maana Mwanaume ndio awe mtawala siku hiz na wao wanataka kubadilisha
Ndiyo walivyoLeo nimeamini wanawake Ni viumbe tofauti sana na sisi.
Yaani nimemfungulia kabishara kadogo tu kakuingiza lak1 kwa mwezi ila sasa naona jeuri ishaongezeka.
Mfano nikiwa nimemuuzia bidhaa nikakapunguza hata buku (kwa wateja wangu wa zamani) Ugomvi uo maneno
Nikiazima hela yake kama nina emergence Yaan maneno ugomvi afu tuvitu twenyewe tudogo sana. Siyo kwamba simpi nampa kwasababu hela ninayo ila nikichelewesha tu.
Hapo hapo anasahau kua mtaji ni wangu,Wateja wote 90% ni wangu nimemuachia kifupi kalibia kila kitu ni changu.
NIMEJIFUNZA KAMA HUYU BIASHARA IKIKUA ANAWEZA ASINITAKE TENA AKATAKA AWE NA MAISHA YAKE
je mwanamke dawa yake usimuwezeshe kiuchumi au?? maana mi nilijifanya nina mindset ya kisomi
nimecheka kifala ,ampige jini kwa hiyo halafu baadae arudi kwa mganga kumroguaHuyo dawa yake ndogo, muwangie akose wateja jeuri imuishe
We cheka subir asome ulichocomment🤣🤣🤣 wangu katimuliwa kazi ilyokua inampa jeuri sa iv kawa mpole kama kobe .. na namwekea vikwazo kila pande asipaye kazi kwanza kwa ss mpaka akili imkae sawa😅 nilicheka sana
😆😆🤣🤣🤣 wangu katimuliwa kazi ilyokua inampa jeuri sa iv kawa mpole kama kobe .. na namwekea vikwazo kila pande asipaye kazi kwanza kwa ss mpaka akili imkae sawa😅 nilicheka sana
HamnaHuko kutawala kwenyewe mnaweza Sasa! Unakuta jitu halijiwezi ...Yani anapata changamoto kidogo tuu ndo baaasiii hawezi tena kujipambania! Ndo ukae unategemea watu wa hivyo?
Kwenye mambo mazuri ama akitokea wa huko akifanya zuri unasema kuwa ni sie sote ina generalize kabila Zima yaani Kama ni zuri Ila baya unataka liwe individual personality. Am I wrong madamekwanini kila tabia isiyoeleweka mnapenda mno kutupia wadada wa kaskazini..??
Hebu punguzeni hizo 'generalization fallacy'..!
😂😂Huyo dawa yake ndogo, muwangie akose wateja jeuri imuishe
Safi sanaNa ni rahisi tu, Una mrubuni anunue gari tena unahakikisha gari ni bovu bovu hvi kioa siku anashinda nalo Garage.
Akija kushtuka tayari 3 - 1
1. Hiyo biashara mwondoe weka mfanyakazi mapato yanayo patikana mgawie kidogo.Leo nimeamini wanawake Ni viumbe tofauti sana na sisi.
Yaani nimemfungulia kabishara kadogo tu kakuingiza lak1 kwa mwezi ila sasa naona jeuri ishaongezeka.
Mfano nikiwa nimemuuzia bidhaa nikakapunguza hata buku (kwa wateja wangu wa zamani) Ugomvi uo maneno
Nikiazima hela yake kama nina emergence Yaan maneno ugomvi afu tuvitu twenyewe tudogo sana. Siyo kwamba simpi nampa kwasababu hela ninayo ila nikichelewesha tu.
Hapo hapo anasahau kua mtaji ni wangu,Wateja wote 90% ni wangu nimemuachia kifupi kalibia kila kitu ni changu.
NIMEJIFUNZA KAMA HUYU BIASHARA IKIKUA ANAWEZA ASINITAKE TENA AKATAKA AWE NA MAISHA YAKE
je mwanamke dawa yake usimuwezeshe kiuchumi au?? maana mi nilijifanya nina mindset ya kisomi
Jitaidi hiyo biashara isikue kubwa iwe hapo hapo.Leo nimeamini wanawake Ni viumbe tofauti sana na sisi.
Yaani nimemfungulia kabishara kadogo tu kakuingiza lak1 kwa mwezi ila sasa naona jeuri ishaongezeka.
Mfano nikiwa nimemuuzia bidhaa nikakapunguza hata buku (kwa wateja wangu wa zamani) Ugomvi uo maneno
Nikiazima hela yake kama nina emergence Yaan maneno ugomvi afu tuvitu twenyewe tudogo sana. Siyo kwamba simpi nampa kwasababu hela ninayo ila nikichelewesha tu.
Hapo hapo anasahau kua mtaji ni wangu,Wateja wote 90% ni wangu nimemuachia kifupi kalibia kila kitu ni changu.
NIMEJIFUNZA KAMA HUYU BIASHARA IKIKUA ANAWEZA ASINITAKE TENA AKATAKA AWE NA MAISHA YAKE
je mwanamke dawa yake usimuwezeshe kiuchumi au?? maana mi nilijifanya nina mindset ya kisomi
Kwasababu labda wanapenda pesa saba, kuna mdau aliandika Binti wa kichaga akipewa shilingi milioni kumi ili amuuze Mama yake Mzazi. anakubali kumuuza.kwanini kila tabia isiyoeleweka mnapenda mno kutupia wadada wa kaskazini..??
Hebu punguzeni hizo 'generalization fallacy'..!
Mkuu mke wako akakujibu nini baada ya kumpa makavu live?Mkuu ulikosea sana kumfungulia biashara mkeo,kama ulitaka kuoa mfanya biashara ungetafuta mwanamke mfanya biashara,wewe ulioa mke mama wa nyumbani sasa umkambadili na kumfanya mfanya biashara,hili ni kosa kubwa sana,mke ukimuoa mwache Aishi kama ulivyomkuta ikiwezekana mrudishe nyuma kabisa asisonge mbele
Kumfungulia biashara mke ambaye hukumuoa akiwa anafanya biashara ni kosa kama kosa la kumsomesha mwanamke ili uje umuoe,Mimi Nina mifano mingi sana ya wanaume waliojaribu kuwasukuma wake zao mbele mwisho wa siku ndoa zikawashinda.
Mimi mke wangu ni mwalimu,mwaka Jana niliona harakati za maafisa kumpigia promo ili awe mkuu wa shule,nilimwambia sitaki habari hizo,Mimi sikuoa mkuu wa shule,na kama ningetaka mke mwenye cheo cha mkuu wa shule basi ningetafuta
Hawa wanawake ni hatari sana.
Sijisifu,na siwezi kuusemea moyo wake,lakini mke wangu ni mtiifu sana kwangu,namshukuru mungu kwa kunipa mke mwenye kunitii.Mkuu mke wako akakujibu nini baada ya kumpa makavu live?
Umasikini mbaya sana yani kupata laki 1 kwa mwezi inampa mtu jeuri? Kazi kwelikweli. Halafu na wewe unakopa kopa nini kwenye biashara ndogo namna hiyo si itakufa. Muachie aisimamie mwenyewe uone muelekeo wakeLeo nimeamini wanawake Ni viumbe tofauti sana na sisi.