Scorpio Me
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 6,119
- 7,934
siwezi kusimamisha mnazi eeeh...Malela na msondo eeeenh malela na msondo mayasa.
Na Moyo wangu mie waumauma, tena unauma sanae waumauma,nifanye nini,waumauma baka umependa mwenyewe waumauma.Ewiiiiii............
Yanyukweeee..........
Daah, salam wakuu! habare za weekend? kwa wale wa mambo yetu yaleee watakua wanaelewa namaanisha nini hapa. haya basi mtaalam mmoja wa chenja aweke kitu basi tusuuze nyoyo zetu!
[emoji4] hapa rootmachi za alfajiri hapa.mdogo mdogo eeh (mwendo)
ayeya(mwendo)
eh tutafika we(mwendo)
ayeyaaaaa
hahaha jamani nliusahau huo...Hani wangu fanya ujirembeeeee, bonge analia bongeeeeee
Tumetoka shamba na majembee tumechokaaaaaa, tunawahi kwa mzabuni.mdogo mdogo eeh (mwendo)
ayeya(mwendo)
eh tutafika we(mwendo)
ayeyaaaaa
hahaha kwa mzabuni...Tumetoka shamba na majembee tumechokaaaaaa, tunawahi kwa mzabuni.
Siwezi kuchuma mboga usiku × 2siwezi kusimamisha mnazi eeeh...
ntakutwa na afande weee..
ntakutwa na afande (mayasa)
jeshiii moraliii eehMama napenda jeshi
acha mbwembwe mdudu , utashonaa!!!wa kijani
nirushie taulo basiacha mbwembwe mdudu , utashonaa!!!
aya usilie kurutu wa mungu ( in ambrose voice )nirushie taulo basi
Waiiiii hebu tokeni wewe na mumeo.....[emoji17] [emoji6]Ulishaelewa my wii?