Nimemiss kupendwa....

Nitakuja PM tupeleke hii kitu kwenye anga za juu.
 
woii wengine hata hatuaminiwi sanasana tnakutana na maswali 'kulikoni leo? kile kidem chako kimekutoa nduki? polee......
poa nosweti unamtafta kipoozeo unaandika maneno yote mazuri anakujibu ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚nimesafiri ncheki weekend najua umemis nini my love
unaamua kulala moyo unapiga ka biti la azonto unamskilizia wife ata akuguse unaskia anakoroma poa no swet unawaza anijui huyu asbuh unamtegea bafuni unampa 1 for the road then kilamtu anapita hivi...

nmemisi kupendwa,kudeka,kupetiwapetiwa na sio kuambiwa "nakuchukia hadi nakupenda!!
 
Me nimemiss mapenzi flani hivi ya kila muda mnapeanaaa,yani kila mtu yupo available kwa mwenzake
 
Mademu wa kibongo mapenzi haya hamuyawezi. Mshazoea kufokewa tokea kwa wazazi wenu.

Tukiwaletea haya mahaba ya kizungu mnaanza kuwa wapuuzi na ujinga ujinga unaanzia hapo mwishowe ndoa inafeli.

So tubakie humo humo kwenye kuvumiliana. Wewe kama unajiskia hivyo jikaze tu ni matokeo ya kutazama tamthiria za kikorea. Ukiacha then utaishi uhalisia.
 
Hii ni mood yangu kwa sasa, mpka jana jioni nikawa natizama simu yake chat zetu yan mambo magum ndo yanajdiliwa umeme, ada, nenda manispaa, nirushie namba ya flani, ongea nae unichek yan mambo ya beb beb hakuna
 
Muda umeshatamatika mama ,usishindane nao maana ukishindana nao utachepuka
 
Naam
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ