Nimemiss kupendwa....

Nimemiss kupendwa....

Naandaa programu maalumu ya mambo kama haya.. Content kubwa itatoka hapa hapa JF.... Haya mambo inabidi kuyazungumza sasa.. Kuna namna tutayazungumza tu.. Watu wana mengi vifuani.. Hata wanaume pia..
 
Ukiona hivyo ujue familia imekuwa majukumu yameongezeka ule muda wa kupetiwa petiwa umegawanyika ktk majukumu mengine, kwa watoto wenu wapendwa, na kwa wakwe, acha kukariri maisha na kutamani mombo ya wakati ukiwa kigori na leo ni mama wa watoto watatu.
Kila jambo ktk familia na maisha ya mwanadamu lina muda na ukomo wake, kubaliana na hali na mabadiliko ktk mwili wako na hasa maisha ya familia. Waza kuijenga familia ili uwe msaada kwa baba watoto badala ya kikwazo, hata yeye hakuwa na mrembo mmoja wakati huo na hata sasa hapendi ila amekubaliana na mabadiliko kwa afya ya familia.
 
Back
Top Bottom