Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
- Thread starter
-
- #61
Sio kweliNdoa ni kifungo kibaya sana..kila mtu ataubaini huu ukweli kwa wakati wake..
Teh teh we banaaaKwa hiyo siku hizi asa... hakudekezi?
Pole.... mwanamke aogopapo kitu sehemu salama ni kifuani kwa mwanaume.Naikumbuka...ila namuogopa tuu jongoo mm jomonii[emoji85][emoji85]
😂 😂 😂 😂 nmecheka tuUpigwe upepo sehemu gani sasa!
Hebu dadavua kidogo, na huo upepo ni upepo gani maana kuna pepo nying zikiwemo za kumpampu
Kashazipata hivyoHebu mwambie hana taarifa
Bora hata ngekua nshapata darasa, ningekaa tu nakatika zangu na kurusha wowowo huku na kule hebu nifanyie mpango aseePole aisee...mbaya zaidi huwa muda na umri havirudi nyuma 😂 😂 😂 😂
yeeeh babaKwani wahenga na nyie huwa mnamiss mambo ya ujana?
🤣🤣🤣🤣🤣😂 😂 😂 😂 nmecheka tu
😂😂😂sasa wengine hatuna hivyo vifua vya kuvikimbilliaPole.... mwanamke aogopapo kitu sehemu salama ni kifuani kwa mwanaume.
Hamna bana ni moods tu mbona hata hamna mvurugano, ubavu wangu wenyewe haunaga shida hataHii feeling nafikiri huwa inatokea kwa mmoja tu in a life time. Baada ya hapo ni full mvurugano tu.
Young forever.Marahaba mdogo wangu...naona unazidi kuwa kadogo umejivua gamba lini?
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]Hamna bana ni moods tu mbona hata hamna mvurugano, ubavu wangu wenyewe haunaga shida hata
Tusijekutia nanga airport tehWoii😂😂nitumie ile no yako ya wasup tubebishane mabaharia...
Na kweli...au ubungo terminal..😀Tusijekutia nanga airport teh
Mmeamua kuteseka tu wenyewe...tuukiwatonga pm mkubali....uone kama utakosa kifua cha kukimbilia.[emoji23][emoji23][emoji23]sasa wengine hatuna hivyo vifua vya kuvikimbillia
Hahahh..lolMmeamua kuteseka tu wenyewe...tuukiwatonga pm mkubali....uone kama utakosa kifua cha kukimbilia.