Eng. Zezudu
JF-Expert Member
- Aug 23, 2012
- 8,024
- 11,546
Njoo nikupe upendo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mother Confessor moyo wangu umekutunuku...Nilivyomiss hata huko chemba nakuona mbali...niambie tuu hapahapa ntafurahi
😂😂😂😂duuuhMother Confessor moyo wangu umekutunuku... say yes I do
Siwezi legeza kwa mtoto mzuri kama yeyeTehteh....shikilia nawe usilegeze kamba asije akaja hapa.
Uje bustani ya Eden unilishe tunda la mti wa katikati tuyajue mema na mabaya.D jomonii em niambie nikuje wapi??![emoji39][emoji39]
Ushawahi kujisikia hisia za hivi?unakua kwenye relation ila muda mwingine unajihisi upweke unatamani ukakae mahali upigwe upepo, kuna muda unajisikia moyo umejaa mapenzi hadi yanamwagikia unatamani umuoneshe mtu ila ndio utaonekana mfilipino tu kama sio muhindi....hizi hisia zimekua zinajirudia sana kwangu, nahitaji kuwa updated teh sijui kuwa updated sijui kujiupdate aahh hivo hivo.
Nimemiss sana kupendwa, kuoneshwa mapenzi kwa vitendo, asubuhi style ya kuamshwa iwe kushikwa shikwa nashtuka ooh nakutana na vipi baby mambo, achana na hizi style ya sahivi nakurupuka natupa kule shuka baada ya kupigwa pigwa mgongoni mama nanii amka ukampe mtoto uji, namiss kupigiwa simu kusemeshwa vitu vizuri vizuri, kukutana na text nzuri "unafanya nini njoo nipo huku desh desh garden" ukiachana na sms za mama nanii andaa msosi nakuja sijala, mama nanii hivi uliangalia luku units zimebaki ngapi, nmemiss kupokea kiparcel ndani kuna viatu, gauni nk...nmemiss zile siku nikiwa off mood nawekwa kati ya miguu naulizwa nini mbaya mamaa jamani sahivi nini off mood hata hiyo mood ipige shoti buyuuu hahaha (baba niokoeeee), namiss kuwa huru I miss mambo mengi mnoo.
leo nimevurugwa hadi basi, mnifariji tu, alamsik.
Tehteh...kila la kheri mzee baba.Siwezi legeza kwa mtoto mzuri kama yeye
Ngoja niliite joka lije kunidanganya kwanza😂😂Uje bustani ya Eden unilishe tunda la mti wa katikati tuyajue mema na mabaya.
Kwani wahenga na nyie huwa mnamiss mambo ya ujana?Ushawahi kujisikia hisia za hivi?unakua kwenye relation ila muda mwingine unajihisi upweke unatamani ukakae mahali upigwe upepo, kuna muda unajisikia moyo umejaa mapenzi hadi yanamwagikia unatamani umuoneshe mtu ila ndio utaonekana mfilipino tu kama sio muhindi....hizi hisia zimekua zinajirudia sana kwangu, nahitaji kuwa updated teh sijui kuwa updated sijui kujiupdate aahh hivo hivo.
Nimemiss sana kupendwa, kuoneshwa mapenzi kwa vitendo, asubuhi style ya kuamshwa iwe kushikwa shikwa nashtuka ooh nakutana na vipi baby mambo, achana na hizi style ya sahivi nakurupuka natupa kule shuka baada ya kupigwa pigwa mgongoni mama nanii amka ukampe mtoto uji, namiss kupigiwa simu kusemeshwa vitu vizuri vizuri, kukutana na text nzuri "unafanya nini njoo nipo huku desh desh garden" ukiachana na sms za mama nanii andaa msosi nakuja sijala, mama nanii hivi uliangalia luku units zimebaki ngapi, nmemiss kupokea kiparcel ndani kuna viatu, gauni nk...nmemiss zile siku nikiwa off mood nawekwa kati ya miguu naulizwa nini mbaya mamaa jamani sahivi nini off mood hata hiyo mood ipige shoti buyuuu hahaha (baba niokoeeee), namiss kuwa huru I miss mambo mengi mnoo.
leo nimevurugwa hadi basi, mnifariji tu, alamsik.
Asante msalimie KaruceeTehteh...kila la kheri mzee baba.
Wanawake wa siku mnavyomwogopa nyoka mngekuwa ninyi zama zile...tungekuwa Eden bado...Ngoja niliite joka lije kunidanganya kwanza[emoji23][emoji23]