Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Karibu mpenziAhsante beib
Acha umbea
Me thimuogopiii😛😛naogopa jongooWanawake wa siku mnavyomwogopa nyoka mngekuwa ninyi zama zile...tungekuwa Eden bado...
Maana msingemsogelea nyoka.
Huyu Kaboom walishaachana
Baharia leo natamani nijitumie SMS za mapenzi kwenye line yangu nyingine, yani nijibebishe mwenyewe 😂 😂Hahaha baharia mwenzangu vipi jomonii...pole aisee..hata Mimi nimemiss baadhi ya vitu kama vyako..em jomonii mmoja anitumie msj ya kuniambia kanimiss hata ya uongoo tuu...😂😂
Woii😂😂nitumie ile no yako ya wasup tubebishane mabaharia...Baharia leo natamani nijitumie SMS za mapenzi kwenye line yangu nyingine, yani nijibebishe mwenyewe 😂 😂
Huu sio umbea ni utoaji wa taarifa.Acha umbea
Ushawahi kujisikia hisia za hivi?unakua kwenye relation ila muda mwingine unajihisi upweke unatamani ukakae mahali upigwe upepo, kuna muda unajisikia moyo umejaa mapenzi hadi yanamwagikia unatamani umuoneshe mtu ila ndio utaonekana mfilipino tu kama sio muhindi....hizi hisia zimekua zinajirudia sana kwangu, nahitaji kuwa updated teh sijui kuwa updated sijui kujiupdate aahh hivo hivo.
Nimemiss sana kupendwa, kuoneshwa mapenzi kwa vitendo, asubuhi style ya kuamshwa iwe kushikwa shikwa nashtuka ooh nakutana na vipi baby mambo, achana na hizi style ya sahivi nakurupuka natupa kule shuka baada ya kupigwa pigwa mgongoni mama nanii amka ukampe mtoto uji, namiss kupigiwa simu kusemeshwa vitu vizuri vizuri, kukutana na text nzuri "unafanya nini njoo nipo huku desh desh garden" ukiachana na sms za mama nanii andaa msosi nakuja sijala, mama nanii hivi uliangalia luku units zimebaki ngapi, nmemiss kupokea kiparcel ndani kuna viatu, gauni nk...nmemiss zile siku nikiwa off mood nawekwa kati ya miguu naulizwa nini mbaya mamaa jamani sahivi nini off mood hata hiyo mood ipige shoti buyuuu hahaha (baba niokoeeee), namiss kuwa huru I miss mambo mengi mnoo.
leo nimevurugwa hadi basi, mnifariji tu, alamsik.
Sasa si ndugu na kaka.Me thimuogopiii[emoji14][emoji14]naogopa jongoo
Ndio umbea wenyewe, umetumwa na nani?Huu sio umbea ni utoaji wa taarifa.
Sio mbaya waendelee kupasha ili mradi mke wangu asinionyeshe dharauKamwe hawawezi kuachana hao.
Na Heaven SentNdio umbea wenyewe, umetumwa na nani?
Naikumbuka...ila namuogopa tuu jongoo mm jomonii🙈🙈Sasa si ndugu na kaka.
Hukusoma ile stori ya darasa la tatu walibadilishana macho na miguu na sir snake.