Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli unaweza kukuta kadangaOhoo! Jinsia jirani
CongratulationsWasalaam. Habarini Wana JF,
Kwanza kabisa niseme nawashukuru wanajamii-forum wote kwa ujumla hasa hili jukwaa letu pendwa la biashara, uchumi na ujasiriamali, kwani tumekua tukipeana mbinu za kibiashara ambazo zinaweza kutusaidia kujikwamua kiuchumi kwa namna moja au nyingine. Mbarikiwe sanaaa[emoji119]
Ni miaka mitatu Sasa tangu nimalize kidato cha sita na kuingia mtaani kuanza kupambana rasmi na maisha(binafsi sikufanikiwa kuingia chuo). Katika kipindi hiki Cha miaka mitatu(3) nimejifunza mamb mengi kama kijana, itoshe kusema katika kipindi hicho chote nimejifunza kupambana till my last drop to achieve my wildest dream, pili kuwa mkweli kwa nafsi yangu
Katika vitu vinavyonipa faraja ni kumjengea mama yangu nyumba nikiwa bado nipo kwenye 20's[emoji847],hii kitu imenipa faraja sana sana, ingawa bado sijafika Ila nimeanza kuuona mwangaza kwa mbaaaali
LENGO /DHUMUNI LA HII THREAD:
Lengo la huu Uzi ni kukujulisha kijana mwenzangu kuwa sasa ivi tunaishi katika "information age"(golden era) hatuhitaji tena pesa kutengeneza pesa bali taarifa sahihi na uthubutu kutengeneza ukwasi wa kutisha, hivyo basi jitahidi sana, sana, sana kuwa na taarifa sahihi. Itakusaidia.
#never lose focus# Ttoday is Tuesday choose it wisely
View attachment 1826441
View attachment 1826439
E bwanaee una akili!Mungu akubariki sana Usijivune.Wasalaam. Habarini Wana JF,

sijajua status ya familia yako, labda umekuwa bila baba. hata ungekuwa na baba upendo wetu sisi wanaume kwa mama ni wa tofauti, ila kama wote wapo, nashauri ungewajengea wote wawili, baba na mama. katika maisha mwanaume anarisk maisha zaidi ya mwanamke kwenye kusaidia familia, mwanamke anachorisk ni kuzaa tu vingine vingi hata kama amefanya amewezeshwa na baba. wewe ni mwanaume, muda si mrefu utakuwa baba, na watoto wako watamjengea mkeo nyumba bial shukran kwako kama unavyofanya wewe. ndo maana kuna siku ya mama duniani ila hakuna siku ya baba.Wasalaam. Habarini Wana JF,