Nimemjengea mama yangu nyumba nikiwa bado nipo kwenye 20's

Bitikoini na foreksi hizi sii ajabu buanaaa [emoji18][emoji871] japo kuna kulia na kusaga meno huko [emoji23]
 
Utakuta unauza ngada unawakatisha tamaa vijana wanaopambana
 
Congratulations
 
E bwanaee una akili!Mungu akubariki sana Usijivune.
 
sijajua status ya familia yako, labda umekuwa bila baba. hata ungekuwa na baba upendo wetu sisi wanaume kwa mama ni wa tofauti, ila kama wote wapo, nashauri ungewajengea wote wawili, baba na mama. katika maisha mwanaume anarisk maisha zaidi ya mwanamke kwenye kusaidia familia, mwanamke anachorisk ni kuzaa tu vingine vingi hata kama amefanya amewezeshwa na baba. wewe ni mwanaume, muda si mrefu utakuwa baba, na watoto wako watamjengea mkeo nyumba bial shukran kwako kama unavyofanya wewe. ndo maana kuna siku ya mama duniani ila hakuna siku ya baba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…