Nimemkataza mke wangu kwenda kwenye Marathon

Mpaka mke wako anafikiria kwenda marathon ujue ni kimeo tayari huyo, ile hali tu yakutamani kwenda marathoni tayari huyo ni tatizo.

Mwanamke mwenye akili timamu na well matured hawezi kwenda kwenye matukio ambayo zaidi ya asilimia 70 yanahusisha wanaume, mfano kwenye mabaa, marathoni, mpira wa miguu, matamasha ya muziki nk.

ndio pale Afghanistan ni marufuku mwanamke kuonekana kitaa bila uangalizi wa mume, ndugu wa karibu nk
Mwanamke ni kiumbe adhimu hakipaswi kuzagaazagaa hovyo mitaani.

ndani ya mitaa ya Benghazi Libya.
 

Umemuonea bure. Kama akiamua, sehemu yoyote kuna matukio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…