GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Mtafute Swahiba wake mkubwa, Mlevi Mwenzake na Mpenda Mbunye ( K ) kama Yeye Carlos ( Mtoto Mkubwa wa aliyekuwa Mkuu wa JKT Tanzania na Mzanaki Mwenzangu Meja Jenerali Raphael Muhuga ) atakuelekeza alipo kwa sasa.Mwamba alipanda vyeo kwa kasi ya 5g chini ya utawala wa hayati Magufuli.
Alikuwa anapendwa sana na hayati Magufuli, kwenye dili za ujenzi alishiriki sana na vijana wake wa JKT.
Sasa hivi yuko wapi?
Ulijuaje Kam Ana penda k acha kuwa chafua wastaafu wetu kichaa wewMtafute Swahiba wake mkubwa, Mlevi Mwenzake na Mpenda Mbunye ( K ) kama Yeye Carlos ( Mtoto Mkubwa wa aliyekuwa Mkuu wa JKT Tanzania na Mzanaki Mwenzangu Meja Jenerali Raphael Muhuga ) atakuelekeza alipo kwa sasa.
Unajuaje kama alimpa?Ulijuaje Kam Ana penda k acha kuwa chafua wastaafu wetu kichaa wew
Uwe unanyamazaga basi kijana ndio uropoke vyote hivyo au dishi haligandishi?Mtafute Swahiba wake mkubwa, Mlevi Mwenzake na Mpenda Mbunye ( K ) kama Yeye Carlos ( Mtoto Mkubwa wa aliyekuwa Mkuu wa JKT Tanzania na Mzanaki Mwenzangu Meja Jenerali Raphael Muhuga ) atakuelekeza alipo kwa sasa.
Kichaa zaidi ni yule Aliyekuzaa.Ulijuaje Kam Ana penda k acha kuwa chafua wastaafu wetu kichaa wew
Gaguti si alirudi headquarters? Yes alafu Gaguti bado kijana. Baada ya kuachwa urc nadhani alipanda cheo akawa meja jenerali.ndio angekuwa CDF .. haya maisha acha tu.. mazingira yalikuwa upande wake.. Hata Gaguti alikuwa na upepo.. 🥴🥴
[emoji3][emoji2]Unajuaje kama alimpa?
Ndio yupo HQ.. ndio ni Meja Gen sasa hivi.. mbunge kama vile walimpa majukumu ya kuwa mshauri mgamboGaguti si alirudi headquarters? Yes alafu Gaguti bado kijana. Baada ya kuachwa urc nadhani alipanda cheo akawa meja jenerali.
Friji yangu kamwe huwa haigandishi na hapo bado sijamtaja Demu wake Mmoja mzuri, mnene mwenye Msambwanda ( ila alishaungua tokea mwaka 2005 ) na sasa Wanashea huyo Demu na Mbunge Mmoja Machachari mno na mwenye Matusi ambaye ameishi sana Kawe na sasa ana Nyumba zake za Kupanga Kawe moja ikiwa iko nyuma ya Msikiti maarufu wa kwa Londa Jirani na Soko Jipya la Kawe.Uwe unanyamazaga basi kijana ndio uropoke vyote hivyo au dishi haligandishi?
Kuanzia mzee wake mikumi.. pia ana moyo safi kama mzee wakeNiliwahi kukutana nae pale Ruvu akiwa Mkuu wa pale na baadae Nyumbani kwake Kinyerezi
ni Askari Mzalendo sana na jasiri sana. siku hizi vizazi vinatoa chawa kwa matumizi ya baadae ya Nchi
Sent from my SM-G9500 using JamiiForums mobile app
Una mzungumzia 'Mzee Nyamka"!!??Hivi meja jenerali mzee yule aliyekuwa mkuu wa magereza na baadaye akateuliwa kuwa rc Mara yupo wapi?
Mfanyie stara mkuu.Friji yangu kamwe huwa haigandishi na hapo bado sijamtaja Demu wake Mmoja mzuri, mnene mwenye Msambwanda ( ila alishaungua tokea mwaka 2005 ) na sasa Wanashea huyo Demu na Mbunge Mmoja Machachari mno na mwenye Matusi ambaye ameishi sana Kawe na sasa ana Nyumba zake za Kupanga Kawe moja ikiwa iko nyuma ya Msikiti maarufu wa kwa Londa Jirani na Soko Jipya la Kawe.
Niendelee Mkuu au kwa sasa niishie tu hapa?
Hapana. Namzungumzia Suleman Mzee?Una mzungumzia 'Mzee Nyamka"!!??
Mzee .. haikupendeza kabisa.. sema mambo ya teuzi haya .. hubishii boss wakoHivi meja jenerali mzee yule aliyekuwa mkuu wa magereza na baadaye akateuliwa kuwa rc Mara yupo wapi?
Mzee si alitofautiana na Mwita Waitara tu kuhusu mambo ya Tari me?Mzee .. haikupendeza kabisa.. sema mambo ya teuzi haya .. hubishii boss wako
hisia zaidi, na huenda fitina zikiwa kazini.. lolote linakukuta kukutoa mchezoniMzee si alitofautiana na Mwita Waitara tu kuhusu mambo ya Tari me?
Ukiona ulikuwa na Cheo Kikubwa Jeshini ( JWTZ ) na ghafla ukaondolewa na kupelekwa kuwa Mshauri wa Mgambo jua kuwa Kwanza Umedharauliwa na Pili hiyo ni Demotion ya Kukuumiza zaidi Kisaikolojia.Ndio yupo HQ.. ndio ni Meja Gen sasa hivi.. mbunge kama vile walimpa majukumu ya kuwa mshauri mgambo