Nimemkumbuka Meja Jenerali Mbuge, yuko wapi?

Nimemkumbuka Meja Jenerali Mbuge, yuko wapi?

Mwamba alipanda vyeo kwa kasi ya 5g chini ya utawala wa hayati Magufuli.

Alikuwa anapendwa sana na hayati Magufuli, kwenye dili za ujenzi alishiriki sana na vijana wake wa JKT.

Sasa hivi yuko wapi?
Mtafute Swahiba wake mkubwa, Mlevi Mwenzake na Mpenda Mbunye ( K ) kama Yeye Carlos ( Mtoto Mkubwa wa aliyekuwa Mkuu wa JKT Tanzania na Mzanaki Mwenzangu Meja Jenerali Raphael Muhuga ) atakuelekeza alipo kwa sasa.
 
Uwe unanyamazaga basi kijana ndio uropoke vyote hivyo au dishi haligandishi?
Friji yangu kamwe huwa haigandishi na hapo bado sijamtaja Demu wake Mmoja mzuri, mnene mwenye Msambwanda ( ila alishaungua tokea mwaka 2005 ) na sasa Wanashea huyo Demu na Mbunge Mmoja Machachari mno na mwenye Matusi ambaye ameishi sana Kawe na sasa ana Nyumba zake za Kupanga Kawe moja ikiwa iko nyuma ya Msikiti maarufu wa kwa Londa Jirani na Soko Jipya la Kawe.

Niendelee Mkuu au kwa sasa niishie tu hapa?
 
Mfanyie stara mkuu.

Sent from my SM-G9500 using JamiiForums mobile app
 
Ndio yupo HQ.. ndio ni Meja Gen sasa hivi.. mbunge kama vile walimpa majukumu ya kuwa mshauri mgambo
Ukiona ulikuwa na Cheo Kikubwa Jeshini ( JWTZ ) na ghafla ukaondolewa na kupelekwa kuwa Mshauri wa Mgambo jua kuwa Kwanza Umedharauliwa na Pili hiyo ni Demotion ya Kukuumiza zaidi Kisaikolojia.

Hata classmate wangu Darasa la Masters SAUT Msimbazi Centre ( School of Graduate Studies ) Dar es Salaam 2015, Luteni Kanali Erick Komba aliyekuwa Msemaji wa Jeshi ( JWTZ ) nae aliondolewa Makao na kupelekwa huko Mgambo kuwa Mshauri.

Haters LIKUD, Greatest Of All Time na CAPO DELGADO mpo? Kudadadeki......!!
 
Back
Top Bottom