Nimemkumbuka mke wangu baada ya kuachana

Nimemkumbuka mke wangu baada ya kuachana

Pole mkuu!

Umejaribu njia zote za kurudiana ikashindikana?

Maana hakuna mkamilifu hasa kwenye sex, binafsi labda nikudake unanifanyia shiriki but nikikufuma bed ntakusamehe najua nyege zako tu zimekutuma maana hazina adabuu.....

Msamehe mkuu mlee watoto, divorce anaiweza mwanamke nyie wanaume huwa mnakufa

Mrudie!
Kama ni kweli unaweza kumvumilia mumeo akichepuka bas wewe ni miongoni mwa wanawake wa kipekee sana hapa duniani na bila shaka mpo wachace mno witnessj
 
Wewe hujawahi kumsaliti?

Maana kama hujawahi kumsaliti toka muanze uhusiano wenu, basi usimrudie[emoji848][emoji848]

Lakini kama unafanyaga basi endelea nae mkuu, hakuna mkamilifu labda upige chini mahusiano but % kubwa usaliti umetamalaki
Nakuelewa sister.... Ila wakati Mimi ilitokea tulikua na tofauti na distance ya miezi karibu miwili. Kwa mapenz alinibana akaniuliza hivi kipindi chote sija sex tuu mi nikafunguka na kusay sorry kwa magoti... But ilipofika kwake badala aombe msamaha ananiforce nimesamehe kwakua na mimi nilichepuka mbaya Zaid na nyumban akaondoka.... Nadhani ameona alipokimbilia sio ndio Mana anataka tusiachane japo naona hayupo serious .
 
TATIZO nna Moyo mdogo saana linapokuja swala la kusalitiwa. . Nikipenda napenda saana kupitiliza Sasa ndo Mana ukinivuruga kunirudisha Kama mwanzo inakua ngumu.
Kusamehe nimesamehe ila Kila nikimuona naingia hasira Kali natamani hata kuua, naona itanidhuru baadae.
Nateseka kinyama yaani
Kwa kauli yako hii bado hujasamehe kutoka moyoni bali unajiaminisha tu kuwa umesamehe.

Fanya uwezavyo usamehe toka moyoni halafu sahau (potezea)
 
Baba tuna kama mwezi na nusu iv
[emoji116]
Screenshot_20210715-185737.jpg

Au huyu ni mke mkubwa[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]
 
Pole mkuu!

Umejaribu njia zote za kurudiana ikashindikana?

Maana hakuna mkamilifu hasa kwenye sex, binafsi labda nikudake unanifanyia shiriki but nikikufuma bed ntakusamehe najua nyege zako tu zimekutuma maana hazina adabuu.....

Msamehe mkuu mlee watoto, divorce anaiweza mwanamke nyie wanaume huwa mnakufa

Mrudie!

Nyie wanawake nani amewapa privilege kubwa hivi? Unadhubutu kusema divorce wanwake tu ndio wanaiweza?
Ameudie malaya kama wewe. Huyo ni malaya. Hafai kuwa mke kabisa na namshauri jamaa aachane kuwa weak. Kuna wanawake wazuri sana ambao wanaheshimu ndoa wanaweza kukaa nayeye. Awe na subira na asiache watoto kwa bib.
Nashauri ahame nyumba waliokuwa wanaishi.

Mwanamke sio chochote. Ni kama nguo, ikiisha unavua. Mwanamke hana thamani kumzidi mwanaume hata kwa siku moja.
 
Nakuelewa sister.... Ila wakati Mimi ilitokea tulikua na tofauti na distance ya miezi karibu miwili. Kwa mapenz alinibana akaniuliza hivi kipindi chote sija sex tuu mi nikafunguka na kusay sorry kwa magoti... But ilipofika kwake badala aombe msamaha ananiforce nimesamehe kwakua na mimi nilichepuka mbaya Zaid na nyumban akaondoka.... Nadhani ameona alipokimbilia sio ndio Mana anataka tusiachane japo naona hayupo serious .
Dah ulifanya kosa kubwa Sana kumpigia magoti[emoji37][emoji37][emoji37]. Yaani hapo alishaona kakushika kwahiyo anaweza kufanya lolote ndiyo maana akachepuka bila ya uwoga akijua kabisa ikigundulika huna Cha kumfanya.

Kila siku tunasema mwanaume usikubali kushuka chini mwanamke ukapoteza ukichwa, unakuwa umemjengea akili Fulani ambayo inamfanya ajihisi Yuko juu yako na mwisho wa siku anaweza kukosea makusudi tu kwa sababu aliona udhaifi kwako. Wanaume tuna njia za kuomba samahani ambazo zinaiacha salama status yetu ya kiongozi wa familia.

Ndoa zingine tunaziharibu wenyewe.
 
Nakubali hii nimeharibu mwenyewe hata nimekaa na wazee wamenieleza ni kosa la kiufundi
 
Sijasoma yote ila wewe huenda ndio chanzo cha yeye kuwa na mahusiano mengine
Ni kwel Mimi ni chanzo lakini je kwa mke wa mtu mwanamke mwerevu mwenye watoto kuacha nyumba yako ukaamia kwa mpita njia ni ujanja au upumbavu!??

#chanzo Mimi simtimizii nahitaji yake yooote
 
Ushauri was kibabe saana huuu[emoji123] hope Mungu atanisaidia
Bro, wanawake wana siri nyingi na nzito.
Najua hutakaa bila kuoa but unaweza kumwacha huyu ukakutana na chui.

Chukua mkeo, ukimsamehe atakupenda na kukuheshimu sana.
Pili wanao usiwaandalie mazingira ya kuharibika.
Watoto kukaa kwa bibi ni sawa na kuwatoa sadaka kwa SHETANI
Hilo neno kwa herufi kubwa ulitafakari usiku huu
 
Back
Top Bottom