Nimemkumbuka mke wangu baada ya kuachana

Nimeamua hivo sema Sasa ishu imegombanisha hada wazazi na ndugu pande zoote na maapizo ya kutorudiana yalitolewa na wazazi ...
Kwa Sasa tunaibiana kwa Siri tuu

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119] mshaanza kujiiba? Hamuachani nyie [emoji23]. That’s a good step, endeleeni kujiiba mwisho wa siku mambo yatakaa sawa. Big up kwako mkuu
 
Kosa la mke kuliwa sitoi msamah
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119] mshaanza kujiiba? Hamuachani nyie [emoji23]. That’s a good step, endeleeni kujiiba mwisho wa siku mambo yatakaa sawa. Big up kwako mkuu
Tumekua Kama teenagers maana bimkubwa yupo home anaangalia wajukuu Sasa inabidi tuibiane lodge ...... Zile stress Sasa baasi 😁😁
 
Huyu jamaa anawachezea trick

Anafanya kama series
 
Tumekua Kama teenagers maana bimkubwa yupo home anaangalia wajukuu Sasa inabidi tuibiane lodge ...... Zile stress Sasa baasi [emoji16][emoji16]

Mnapendana nyie [emoji23]hebu kaeni muyajenge mumalize huo utata. Huko huko lodge mkikutana zungumzeni ili mumalize tofauti zenu. Nobody is perfect brother, usiache mkeo
 
Mambo madogo tu hayo mnayakuuuuza!!

We lini ulikuwa mwanamke ukajua ni rahisi kusamehe?
 
Mnapendana nyie [emoji23]hebu kaeni muyajenge mumalize huo utata. Huko huko lodge mkikutana zungumzeni ili mumalize tofauti zenu. Nobody is perfect brother, usiache mkeo
Kweli ndugu yangu hata mi si mkamilifu
 
Kweli ndugu yangu hata mi si mkamilifu

Safi, anzeni upya. Mkivuka hapo wote mtakua makini maana kila mtu atajua thamani ya ndoa yake na hatataka kuipoteza kijinga. Mara nyingine misuko suko katika ndoa ndo inayoleta uimara.
 
Safi, anzeni upya. Mkivuka hapo wote mtakua makini maana kila mtu atajua thamani ya ndoa yake na hatataka kuipoteza kijinga. Mara nyingine misuko suko katika ndoa ndo inayoleta uimara.
Yaah sure makovu yanatukomaza si kutulemaza hakika tutakua tumejifunza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…