Ila utamsahau tu, Mimi mwenyewe pendapenda Sana,
Kuna mwanamke huko MBEYA nilimpendaga mnoo, Sasa bwana mi nna wivu Sana sana, nikatumia akili ya kiume nikaijua password ya simu yake ,
Sasa nikawa mida ya saa nane usiku namvizia amelala fofofo nafungua simu yake naanza kuikagua,ikawa ndio tabia yangu,
Mara ya mwisho Sasa nikaifungua simu yake, nakuta Kuna muhuni alikuwa anachatinae whatspp, muhuni akamuambia baby ukitoka kuoga naomba nikupigie Video call 😎 kabla ujavaa nguo,aisee yule mwanamke bwana kweli alivyotoka kuoga akafanya ivyo, nikakuta mengi, Mara bwana gafla yule mwanamke akashtuka usingizini, tukaanza kung'ang'aniana Simu Sasa,ye anaitaka,Mimi naizuia, ikawa Kama picha la kihindi, hapo tupo uchi Mimi pumbu zinaning'inia, yeye pia alkadhalika ,
Basi end of the day niliipigiza chini simu yake ya ghalama ,ikawa haifai, baada ya hapo ikawa mwisho wa Mimi na yeye,
Sasa mkuu nikaanza kuumia roho, nilikonda kwa kumuwadha, sometimes ikawa nahisi kujiua, sometime nahisi kupiga makelele,
Niliisha mwili, kumbuka nimezaanae huyo mwanamke,
Ila aisee Kuna njia nilifanya nikamsahau kabisakabisa, Mungu ni mwema kwakweli,
Kwaiyo hata wewe utamsahau tu Huyo kiumbe