Kama ni kweli unaweza kumvumilia mumeo akichepuka bas wewe ni miongoni mwa wanawake wa kipekee sana hapa duniani na bila shaka mpo wachace mno witnessjPole mkuu!
Umejaribu njia zote za kurudiana ikashindikana?
Maana hakuna mkamilifu hasa kwenye sex, binafsi labda nikudake unanifanyia shiriki but nikikufuma bed ntakusamehe najua nyege zako tu zimekutuma maana hazina adabuu.....
Msamehe mkuu mlee watoto, divorce anaiweza mwanamke nyie wanaume huwa mnakufa
Mrudie!
Nakuelewa sister.... Ila wakati Mimi ilitokea tulikua na tofauti na distance ya miezi karibu miwili. Kwa mapenz alinibana akaniuliza hivi kipindi chote sija sex tuu mi nikafunguka na kusay sorry kwa magoti... But ilipofika kwake badala aombe msamaha ananiforce nimesamehe kwakua na mimi nilichepuka mbaya Zaid na nyumban akaondoka.... Nadhani ameona alipokimbilia sio ndio Mana anataka tusiachane japo naona hayupo serious .Wewe hujawahi kumsaliti?
Maana kama hujawahi kumsaliti toka muanze uhusiano wenu, basi usimrudie[emoji848][emoji848]
Lakini kama unafanyaga basi endelea nae mkuu, hakuna mkamilifu labda upige chini mahusiano but % kubwa usaliti umetamalaki
Baba tuna kama mwezi na nusu ivMmeachana lini?
Asikwambie mtu aiseyHata Mimi namis ex wangu aiseee
Kwa kauli yako hii bado hujasamehe kutoka moyoni bali unajiaminisha tu kuwa umesamehe.TATIZO nna Moyo mdogo saana linapokuja swala la kusalitiwa. . Nikipenda napenda saana kupitiliza Sasa ndo Mana ukinivuruga kunirudisha Kama mwanzo inakua ngumu.
Kusamehe nimesamehe ila Kila nikimuona naingia hasira Kali natamani hata kuua, naona itanidhuru baadae.
Nateseka kinyama yaani
Sasa mapenzi si Yanaishaga dada anguUtapotea wewe...hakupendi angekuzalia watoto?
Hao wanaokushauri hivo nao mahusiano yao rojorojo, tia maji shauri yako
[emoji116]Baba tuna kama mwezi na nusu iv
Nahisi nahitaji tiba Sasa maana najilazimisha nashindwa na inaniadhiri Hadi kwenye shughuli zanguKwa kauli yako hii bado hujasamehe kutoka moyoni bali unajiaminisha tu kuwa umesamehe.
Fanya uwezavyo usamehe toka moyoni halafu sahau (potezea)
Pole mkuu!
Umejaribu njia zote za kurudiana ikashindikana?
Maana hakuna mkamilifu hasa kwenye sex, binafsi labda nikudake unanifanyia shiriki but nikikufuma bed ntakusamehe najua nyege zako tu zimekutuma maana hazina adabuu.....
Msamehe mkuu mlee watoto, divorce anaiweza mwanamke nyie wanaume huwa mnakufa
Mrudie!
Ni ngumu sana lakini ajitahidiMi namshangaa mkuu... badala amuite yaishe walee watoto yy ameendekeza kisasi tena kinamtafuna mwenyewe[emoji848]
Dah ulifanya kosa kubwa Sana kumpigia magoti[emoji37][emoji37][emoji37]. Yaani hapo alishaona kakushika kwahiyo anaweza kufanya lolote ndiyo maana akachepuka bila ya uwoga akijua kabisa ikigundulika huna Cha kumfanya.Nakuelewa sister.... Ila wakati Mimi ilitokea tulikua na tofauti na distance ya miezi karibu miwili. Kwa mapenz alinibana akaniuliza hivi kipindi chote sija sex tuu mi nikafunguka na kusay sorry kwa magoti... But ilipofika kwake badala aombe msamaha ananiforce nimesamehe kwakua na mimi nilichepuka mbaya Zaid na nyumban akaondoka.... Nadhani ameona alipokimbilia sio ndio Mana anataka tusiachane japo naona hayupo serious .
Baba hii kitu ata yeye anajua na nilisha OMBA msamaha Wala si siri
Nakubali hii nimeharibu mwenyewe hata nimekaa na wazee wamenieleza ni kosa la kiufundiDah ulifanya kosa kubwa Sana kumpigia magoti[emoji37][emoji37][emoji37]. Yaani hapo alishaona kakushika kwahiyo anaweza kufanya lolote ndiyo maana akachepuka bila ya uwoga akijua kabisa ikigundulika huna Cha kumfanya.
Kila siku tunasema mwanaume usikubali kushuka chini mwanamke ukapoteza ukichwa, unakuwa umemjengea akili Fulani ambayo inamfanya ajihisi Yuko juu yako na mwisho wa siku anaweza kukosea makusudi tu kwa sababu aliona udhaifi kwako. Wanaume tuna njia za kuomba samahani ambazo zinaiacha salama status yetu ya kiongozi wa familia.
Ndoa zingine tunaziharibu wenyewe.
Ni kwel Mimi ni chanzo lakini je kwa mke wa mtu mwanamke mwerevu mwenye watoto kuacha nyumba yako ukaamia kwa mpita njia ni ujanja au upumbavu!??Sijasoma yote ila wewe huenda ndio chanzo cha yeye kuwa na mahusiano mengine
Bro, wanawake wana siri nyingi na nzito.Ushauri was kibabe saana huuu[emoji123] hope Mungu atanisaidia
Na ukute hata ni watoto ndoa hawaijui, wana ndoa wengi wana ushauri mzuri maana wanaelewa yaliyomo...ni kuvumiliana tu hakuna mkamilifuUtapotea wewe...hakupendi angekuzalia watoto?
Hao wanaokushauri hivo nao mahusiano yao rojorojo, tia maji shauri yako