Nimemkumbuka Nasma Hamisi Kidogo aliyemtikisa Khadija Kopa kwenye taarabu

Nimemkumbuka Nasma Hamisi Kidogo aliyemtikisa Khadija Kopa kwenye taarabu

Nmeamini bila kua na Mpinzani hutoboi,
Baada y Kifo cha Bi Nasma, Khadija Kopa akakosa Mpinzani akajikuta Mpweke, Utunzi ukawa sio wa kiviiile walivyokuja Jahazi na kapteni wao Mzee Yusuph ikawa anguko rasmi la Bi. Khadija.
Nasma amefariki akiwa tayari kashapotea katika ramani ya taarabu
ushindani wa NASMA na KHADIJA KOPA
uliipotezwa na MAINGIZO mapya katika TAARABU
atilist KHADIJA alijitutumua ila NASMA baada MUUNGANO kulega kulega nae akapotea

Na kujitutumua kwa KHADIJA kulitokana na kuwa ni BAND ya CHAMA

ukumbuke USHINDANI wa KHADIJA na NASMA ulipamba moto BAADA ya KHADIJA kuchukuliwa na T.O.T kutoka hapo MUUNGANO na kabla ya hapo khadija alitamba na MUUNGANO na Goma kali linaitwa HOMA YA JIJI
ndio akaja NASMA kuziba pengo la KHADIJA baada khadija kurudi TOT na NASMA kurudi muungano

hapo ndipo NASMA alipofurumusha SONG la karne lakuitwa MAMBO IKO HUKU a.k.a MTU MZIMA HOVYO mwishoni mwa miaka 90 kati ya 98 au 99
haya baadhi ya mashaili
"Achi ngazi bibi mchuma unaondoka huo
umechelewa naondoka nae
umeishiwa ninadunda nae
kipi cha kung'ang'aninia
hakutaki ebu timua
atake nini kwangu namtimizia
Mtu mzima hovyo unajiashua
kaona mambo yapo huku
TAARABU himo TAARABU himo"
hvyo nyimbo Sisi maCHECKBOB wa zamani tukiulizia TAARABU imo ujue code hiyo tunaulizia msambwanda hiyo CODE taarabu imo tulilipata kwenye wimbo huo

khadija akaona isiwe kesi mwaka 2000 akaachia Y2K MANJONO
humo anajisifu yeye mkali kama compyuta anajua kupanga hesabu na kisha kuzibomoa
anakwambia marekani na JAPANI walikaa kumfikiria hivyo hamuwezi kumfananisha na Vicalculator kama NASMA
ikaIgalagaza vilivyo MAMBO IKO HUKU àkataka kuishusha kwenye trand

Nasma nae hakuwa legelege
akalishusha SANAMU MICHELIN akimnanga KHADIJA na mshepu wake ulokatikakatika hauna mbele wala nyuma
akidai hata akivaahapendezi
hata akisuka vinywele vinafumuka
anamwambia hatabaki nambienambie
amwambie nani naye shepu hana

Khadija kuona kanangwa hivyo akalishusha
dude GENDAEKA
humo kuna mashaili ya kumkela NASMA akijinasibu yeye mtoto wa mjini

ulipotoka kwenu NYAMBIZI
sisi tulikupokea weweeeeeee
na VIBAASHA vyako
shingoni una hilizi
ukafundishwa VIVAZI weweeeeeee

Khadija anadai Saloon waakampeleka
na vivazi wakamvisha
lakini sasa anajifanya anajua
wakati wanamjua kitambo anaitwa GENDAEKA
uchafu mtupu

kimsingi mtifuano wa khadija na NASMA
Ulifanya VIKUNDI vya TOT na MUUNGANO viwe moto
na TOT waliamua kumrudisha KHADIJA ktoka MUUNGANO baada ya kuwatia wasiwasi na HOMA YA JIJI
hilo dude HOMA YA JIJI halikuwa mchezo bonge la songi
Na NYOTA ya nasma iling'ara zaidi baada kurudi MUUNGANO toka TOT

hiyo mitifuano ilikuwa mwishoni mwa miaka 90 mpk kuja miaka 2003 au 2005 hivi na ukisikia mipasho basi ilikuwa MIPASHO haswa mana enzi hizo dada zetu wakigombana walikuwa wanawekeana kaseti tu za mipasho sio now kutupiana vijembe FACEBOOK na STATUS Whatsapp
Ulikuwa mwendo wa taarabu na kanga tu

baada ujio wa MZEE YUSUPH pamoja na kufanya VIZURI EAST AFRCA MELROD

Mzee YUSUPH akawa anachuana na OMARY KOPA
baada OMARY kufa MZEE YUSUPH akachukua gurudumu la UGWIJI wa TAARABU ambapo akaipeleka NEXT LEVEL
kiasi mpaka baadhi ya Waimbaji wa BONGOFREVA walitaka kuimba taarabu
asikwambie mtu Edhi ya MZEE YUSUPH toka NZANZIBAR STARS mpk JAHAZI MORDEN TAARABU
taarabu ilikuwa moto wa kuotea mbali
ila ukiniuliza msanii gani ana mchango mkubwa katika MORDEN taarabu basi huwezi kumuacha kumuongelea KHADIJA
mana huyu dada au tuseme SHEMEJI YANGU maana aliwahi kuolewa na NDUGU yangu wa damu huko visiwani miaka 80 huko
ila bado yupo gado tangu edhi za TX mpenz mwanzoni miaka 90 huko hiyo nyimbo ililetaga utata mpk SERIKALI ikataka kuifungia
Hivyo KHADIJA akijinasibu yeye ni MALKIA WA MIPASHO basi malkia haswa
heko kwake


NASMA alifariki 2009 na kifo chake kililetwa humu habari watu tulisikitika
kwa uwezo wake wa kughani mashairi
lkn alikufa akiwa fukara 7bu maradhi alokuwa nayo km angekuwa na pesa agharabu MWENYEZIMUNGU angempa umri mrefu
 
Nasma amefariki akiwa tayari kashapotea katika ramani ya taarabu
ushindani wa NASMA na HADIJA KOPA
uliipotezwa na MAINGIZO mapya katika TAARABU
atilist KHADIJA alijitutumua ila NASMA baada MUUNGANO kulega kulega nae akapotea

Na kujitutumua kwa KHADIJA kulitokana na kuwa ni BAND ya CHAMA

ukumbuke USHINDANI wa KHADIJA na NASMA ulipamba moto BAADA ya KHADIJA kuchukuliwa na T.O.T kutoka hapo MUUNGANO na kabla ya hapo khadija alitamba na MUUNGANO na Goma kali linaitwa HOMA YA JIJI
ndio akaja NASMA kuziba pengo la KHADIJA baada khadija kurudi TOT na NASMA kurudi muungano

hapo ndipo NASMA alipofurumusha SONG la karne lakuitwa MAMBO IKO HUKU mwishoni mwa miaka 90 kati ya 98 au 99
haya baadhi ya mashaili
"Achi ngazi bibi mchuma unaondoka huo
umechelewa naondoka nae
umeishiwa ninadunda nae
kipi cha kung'aninia
hakutaki ebu timua
atake nini kwangu namtimizia"

khadija akaona isiwe kesi akaachia mwaka 2000 akaachia Y2K MANJONO humo anajisifu yeye mkali kama compyuta anajua kupanga hesabu na kisha kuzibomoa
anakwambia marekani na JAPANI walikaa kumfiria hivyo hamuwezi kumfananisha na Vicalculator kama NASMA
ikaIgalagaza vilivyo kutaka kuishusha MABO IKO HUKU

Nasma nae akaona isiwe KESI akalishusha SANAMU la Michelini akimnanga KHADIJA na mshepu wake ulokatikakatika hauna mbele wala nyuma

Khadija kuona hivyo akalishusha
dude GENDAEKA
humo kuna mashaili ya kumkela kwa NASMA akijinasibi yeye mtoto wa mjini

"ulipotoka kwenu NYAMBIZI
sisi tulikupokea weweeeeeee
na VIBAASHA vyako
shingoni una hilizi
ukafundishwa VIVAZI weweeeeeee "

kimsingi mtifuano wa khadija na NASMA
Ulifanya VIKUNDI vya TOT na MUUNGANO viwe moto
na TOT waliamua kumrudisha KHADIJA ktoka MUUNGANO baada ya kuwatia wasiwasi na HOMA YA JIJI
Na NYOTA ya nasma iling'ara baada kurudi MUUNGANO toka TOT

hiyo mitifuano ilikuwa mwishoni mwa miaka 90 mpk kuja miaka 2003 au 2005 hivi
kabla ujio wa MZEE YUSUPH akawa anachuana na OMARY baada OMARY kufa MZEE YUSUPH akachukua gurudumu la UGWIJI wa TAARABU


NASMA alifariki 2009 na kifo chake kililetwa humu habari watu tulisikitika
kwa uwezo wake wa kughani mashairi
lkn alikufa akiwa fukara 7bu maradhi alokuwa nayo km angekuwa na pesa agharabu MWENYEZIMUNGU angempa umri mrefu
Hivi Omary alikuwa mtoto wa Hadija Kopa?
 
Kuna huu wimbo wake unaitwa mwanamke mazingira nao ulitingisha jiji enzi hizo
 
Back
Top Bottom