okiwira
JF-Expert Member
- Jul 23, 2018
- 2,856
- 3,003
🤣🤣🤣🤣🤣unanogesha na wana NJENJE kwa mbaaaaliSiku hizi taarabu zenu vurugu nyingi.
Raha ya taarabu ilikuwa mduara wanawake mbele wanaume nyuma.
Mnazunguka.
Hapo inapigwa riziki mafungu saba,paka mapepe,nimekinai umasikini wangu n.k
Mara zinapigwa za Omar kopa,mzee issa matona n.k
Kuja kushtuka saa 9 usiku.
Wanaanza kupiga bongo fleva.kipindi hicho hakuna singeli