Nimemkumbuka Nasma Hamisi Kidogo aliyemtikisa Khadija Kopa kwenye taarabu

Nimemkumbuka Nasma Hamisi Kidogo aliyemtikisa Khadija Kopa kwenye taarabu

hii modern taarabu ya Sasa ni kiboko.
kizazi kipya kilichovurugwa.
Kama kwenye vigodoro wakianza kupiga zile za zamani uwanja unakuwa umetulia.ngoja Sasa waanze za kisasa wanatibuka
Ni shida ni kama taarabu imefunikwa na vigodoro na singeli
 
Karibu uswazi na shughuli za waswahili.
Najua mtaani bado ipo na mimi nasikiliza taarabu sana ila niambie msanii gani wa taarabu anayetrend saivi au wimbo gani wa taarabu upo kwenye trend
 
Life is a blessiñg, and a curse as well
Screenshot_20220405-070412_Gallery.jpg
 
Hivi ABDUL kma nipo sahh jina km sipo bas ni Ally wa WATOTO WANGU UNGA ROBO yu hai?
 
Siku hizi taarabu zenu vurugu nyingi.

Raha ya taarabu ilikuwa mduara wanawake mbele wanaume nyuma.

Mnazunguka.

Hapo inapigwa riziki mafungu saba,paka mapepe,nimekinai umasikini wangu n.k

Mara zinapigwa za Omar kopa,mzee issa matona n.k

Kuja kushtuka saa 9 usiku.

Wanaanza kupiga bongo fleva.kipindi hicho hakuna singeli
Karibu uswazi na shughuli za waswahili.
 
Siku hizi taarabu zenu vurugu nyingi.
Raha ya taarabu ilikuwa mduara wanawake mbele wanaume nyuma.
Mnazunguka.
Hapo inapigwa riziki mafungu saba,paka mapepe,nimekinai umasikini wangu n.k
Mara zinapigwa za Omar kopa,mzee issa matona n.k
Kuja kushtuka saa 9 usiku.
Wanaanza kupiga bongo fleva.kipindi hicho hakuna singeli
Hata hizo ulizozitaja mkuu bado sio taarab za kizamani. Hizo zote ni modern na zipo mpk sasa sema sio mpenzi WA taarab huwezi kuzifaham.
 
Back
Top Bottom