Nimemkumbuka Nasma Hamisi Kidogo aliyemtikisa Khadija Kopa kwenye taarabu

[emoji1787][emoji1787][emoji1787]kudadek
Nakumbuka kiitio Cha nasma..

Gangwee mob ni hatariii Tena hawana mpimzani🎶
Gangwee mob ni hatari tena hawana mpinzaniiii🎶
Wape wapee eeh vidonge vyao..wakimeza wakitema hiyo shauri zaooo🎶🎶

😂😂
 
Wewe una miaka mingapi?
 
Jana nilikuwa sehemu wakawa wanapiga nyimbo zake nikaishia kucheka tu,....
 


Ngoma yake mojawapo hiyo
 
Usimsahau OMARI KOPA.
Mzee yusuph alikuwa anasubiri bench.
Japo alikuwa na mambo ya ajabu ajabu ila jamaa alikuwa anaimba
Mzee Yusuph ni mkongwe kwenye rusha roho, Omari Kopa(RIP) alikuja baadae sana

Mzee Yusuph ameanza kuandika nyimbo na kupiga kinanda enzi ya East African Modern Taarab; wimbo wa Kinyago cha Mpapure wa Mwanahawa Ally aliandika yeye akiwa bado kijana mdogo; na ameandika nyimbo nyingi sana, mpaka alipoamua kuanza kuimba mwenyewe.
 
Nakumbuka mpambano mmoja wa TOT na MUUNGANO,ilikuwa pale VIJANA SOCIAL HALL, Kinondoni show ilikuwa kali balaa hatimaye wakati anaimba MWANAIDI SHAABAN wa Muungano jukwaa likavunjika wanamuziki wakatumbukia chini😀😀😀
Mwanaid shaban kama sikosei ndio alieimba zoa zoa akiwa na East Africa melody
 
Na ile anasema mbele uchezi, nyuma hutikisiki... Ilikuwa hatari sana na nilikuwa mdogo mno.
 
Ni kweli ila nazungumzia kwenye uimbaji.
Na sikatai mzee Yusuf alikuwa na kipaji sana na vyombo vyombo vya muziki anapiga
Ila yule mtoto alikuwa akisimama kuimba.ilikuwa ni shidaa.
Na wao walikuwa na upinzani Kama wa diamond na Ali kiba.
Au kanumba na ray kigosi
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Shepu kama shepu

hatari sana! Na roho itawauma sio kitoto
N [emoji23][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji8]!!
 
Shepu yake [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji1787] ila taarabu [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]!
Achia [emoji445]ngazi bibii mchuma unaondoka huooo[emoji445][emoji445][emoji444][emoji444]
Achia ngazi bibii mchuma unaondoka huooo [emoji444] [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…