Nimemkumbuka Nasma Hamisi Kidogo aliyemtikisa Khadija Kopa kwenye taarabu

Nimemkumbuka Nasma Hamisi Kidogo aliyemtikisa Khadija Kopa kwenye taarabu

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji1787] ila taarabu [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]!
Achia [emoji445]ngazi bibii mchuma unaondoka huooo[emoji445][emoji445][emoji444][emoji444]
Achia ngazi bibii mchuma unaondoka huooo [emoji444] [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
🎶🎵unasemwa wewe sanamu la Micheline unaambiwa wewe usojua kushine👌👌👌🎶🎶🎶
 
Ngoma sii yako[emoji445][emoji445]
Waivalia kibwayaaa[emoji445][emoji445]
Mbele hucheziiii nyuma hutikisikiii[emoji445][emoji445][emoji444]

[emoji1787][emoji1787]Jamani
[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]! yani makavu bila chenga
 
Huyu kifo chake aligongwa na gari alikuwa anaenda Diamond jubilee kwa mguu kwenye tamasha, wakati huo hata bodaboda hamna, Inasikitisha.

Kama sio ajali ya gari, jamaa angekuwa jukwaani muda huu
 
Mjinga ww 2005 upo darasa la Saba?

Kipindi Cha kesi ya ugaidi ya mbowe tulidhani tunajadili na mtu mzima kumbe we ni pimbi tu.

Mello fanya mabadiliko kidogo ili mtu akiwa anatoa au kuchangia mada tuone japo umri wa muhusika kwenye screen.

Wengi humu watanielewa
Huyo ni mtu mzima mbona....

Ukikadiria umri wake ni late 20's au early 30's hivi.
 
Maisha yana kwenda kasi jamani.udongo unakula watu sana.

Taarabu ya kipindi cha nyuma ilikuwa nzuri na ilikwenda sambamba na bendi miaka hiyo. Kuna kipindi taarabu ilikuwa na vijembe mpaka majirani wakawa wanagombana. Nasma Hamisi kwenye nyimbo zake zilikuwa na mchuano na Khadija Kopa kwa vijembe.

kama mpaka leo angekuwepo hata khadija kopa angekuwa bado na taarabu yake ileile. Sawa na Kanumba na Rey, Akudo na Fm Academia n.k

R.I.P

Kuna nyimbo ilikua best kwangu hasa mistari ya mwisho mwisho ...."Mambo nale nale umechekwa sana" halafu kuna "nampa maandazi na chai ya tangawizi" sijui hata jina la wimbo.
 
Maisha yana kwenda kasi jamani.udongo unakula watu sana.

Taarabu ya kipindi cha nyuma ilikuwa nzuri na ilikwenda sambamba na bendi miaka hiyo. Kuna kipindi taarabu ilikuwa na vijembe mpaka majirani wakawa wanagombana. Nasma Hamisi kwenye nyimbo zake zilikuwa na mchuano na Khadija Kopa kwa vijembe.

kama mpaka leo angekuwepo hata khadija kopa angekuwa bado na taarabu yake ileile. Sawa na Kanumba na Rey, Akudo na Fm Academia n.k

R.I.P

watu wanaosikiliza taarabu kwa wanawake naonaga kama mashangingi ya kimalaya yanayotoa mlango wa uwani, huwa nawadharau sana yaani. ila kwa wanaume naaminigi ni mashoga.
 
Back
Top Bottom