Zacharia alizaliwa mwaka 1956 na kufariki mwaka 2021.apumzike nimemkumbuka kwa ushujaa wake
👉Harakati za uanajeshi tangu mwaka 1973-1982
👉Kifungo cha maisha jela 1982-1995 Baada ya jaribio la kutaka kumpindua Mwl. nyerere
👉Harakati za biashara hadi kuwa moja ya wadau muhimu wa club ya simba tangu 2004-2021 umauti ulimpofika(Furaha ya milele umpe ebwana na mwanga wa milele umuangazie. Amina)
Ila kisa cha kuandika uzi ni Baada ya video kuiona clip nitakayoiattach hapa vijana wake marehemu hans wakitoa malalamiko yao
👉Kuna la kujifunza hapa haswa kwa mtu unapofikisha miaka 40 na kuendelea kuanza kuandaa wosia mapema(japo wahenga wanasema kuandaa wosia ama kitabu ni kujichulia kifo)