Nimemkuta Ex wangu 'Anajiuza' roho imeniuma sana

Unaamini ktk dini na Biblia?
Wewe kunijua kote kuliko ninavyojijua kiasi cha kujenga chuki bado umeshindwa kujua kuwa naamini au siamini katika Biblia?
 
Lait kama ningekua huyo dada, walai ningekutukana kupita maelezo

Ulipaswa utambue state aliyopo mtu ambae keshafikia hatua hiyo ni mtu aliekwisha kata tamaa sio ya maisha tu bali ya kuishi, she fear nothing, she is trading her life, she has nothing to lose, yaani hata Mungu hamwogopi tena, she is ready kwa lolote litakalo mtokea mbele ya uso wake, na keshaafiki hata kabla halijamtokea, huku paswa mhoji chochote mkuu

Yaani n sawa na ukute mtu anabwia uga alafu umuulize ni kwann anafanya hvyo, hata kama n mwanao atakutusi

huyo alisha athirika kisaikolojia, ulipaswa uende nae taratibu, either kwa kumfanya awe rafiki, utenge mda wa kutosha nae, umsaidie mahitaj yake ya hapa na pala bila yeye kukuomba, uweke mbinu na mikakati ya kumwibia muda hasa wakati wa jion ule anaoenda jiuza, uwe unautumia nae siku moja moja either kuchoma nae nyama, kwenda nae sehem yeyote ile, huyu huwez mbadili kwa kumwambia acha,, kwanza tibu tatizo linalo mfanya ajiuze (Pesa) alafu taratibu unaaza toka nae, mpeleka maeneo mazuri, muongee mambo mazuri mazuri tu sio maswala ya umalaya au mahusiano yenu, na endapo mada ikaja hakikisha wewe sio mwanzilishi, na pia hata kama akianza yeye hakikisha yuko tayari kwa hiyo mada, tofaut na hapo n bora uingize hata issue za biashara ama kitu ambacho wajua ana interest nacho hata kama ni umbea,

N sawa na mbwa koko, usipokua na mikakati thabiti huyu mbwa huwez mbadilishi kias cha kuish nae chumban kwako as pet animal,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa wewe ni chanzo, kwa hiyo alizoea kukaa tu na kupokea pesa toka kwako bila ya yeye kujishughulisha? Hawa wanawake wa kibongo muvi si wa kuishi nao au kuoa, hawa wanafaa kutiwa tu kwa kukomolewa na kutoswa.
 
Wewe kunijua kote kuliko ninavyojijua kiasi cha kujenga chuki bado umeshindwa kujua kuwa naamini au siamini katika Biblia?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
So funny in deed, nikuchukie!!!!
Basi ndio maana.....

Haya bwana pambana na hali yako.
 
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
You don't need to justify anything mkuu, kumbi za starehe kila mtu yupo, kila mtu ana sababu zake za kuwepo hapo. Ulienda kwa ajili ya live band na wengine wanaenda kwa mambo yao mengine.
 
Siamini kama kujiuza kwake kuna lolote juu yako, it's got nothing to do with you, usiumize kichwa. Tuliowabikiri wote tukawaacha wangekuwa wanajiuza leo hii, yeye atakuwa amekwama maisha tu akaamua short cut. Binadamu tuna hulka ya kulaumu/kulaani wengine pale tunaposhindwa sehemu.

Atakuwa ameshindwa maisha, ameamua kupitia shortcuts.
 
Nawe ulikwenda kununua.... Tofauti kati yako na yake ni ipi labda?
 
Nawe ulikwenda kununua.... Tofauti kati yako na yake ni ipi labda?
You don't need to justify anything mkuu, kumbi za starehe kila mtu yupo, kila mtu ana sababu zake za kuwepo hapo. Ulienda kwa ajili ya live band na wengine wanaenda kwa mambo yao mengine.
 
Kufukua makaburi haijawahi kumuacha mtu salama[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nawe ulikwenda kununua.... Tofauti kati yako na yake ni ipi labda?
Hajatambua kuwa huo mstari ndipo alipojichanganya, ndio maana watu wanamwambia hivyo.
Sehemu za starehe kunaingia watu wa aina zote. Kwahio wewe ukiwepo hapo nikivutiwa nikakutokea maanake unauza na mimi nanunua? Btw mtu anaenunua hawezi kukaa kujipanga eti nimtuokeeje yule wakati inajulikana nikukubaliana bei tu....
'niliona msichana akanivutia nikapanga mikakati nimuingieje' hii statement kwenu inaonesha mtu anapanga kununua?!!
 
You don't need to justify anything mkuu, kumbi za starehe kila mtu yupo, kila mtu ana sababu zake za kuwepo hapo. Ulienda kwa ajili ya live band na wengine wanaenda kwa mambo yao mengine.
I've realized common sense is not very common.
 
Wait, kujua kuwa anajiuza ni baada ya kumfuata na kuongea nae au baada ya kumpigia simu?
 
Wait, kujua kuwa anajiuza ni baada ya kumfuata na kuongea nae au baada ya kumpigia simu?
Wewe habari za wanaojiuza tuache sisi. Let me tell u this, wanawake wa siku hizi kwenye kumbi za starehe huwezi kujua nani ni nani mpaka muongee ndio utajua,vingine ni hisia tu. Huyu ni mtu ninaemfahamu ninaemjua inside out nikiongea nae few minutes i know if she is up to no good!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…