Nimemkuta Ex wangu 'Anajiuza' roho imeniuma sana

Nimemkuta Ex wangu 'Anajiuza' roho imeniuma sana

We mwenyeww unajiuzaaaa…
Ulifuata nn huko???

Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoja nikujibu kwa niaba ya mapopoma wenzio. Sehrmu nyingi za starehe hasa zenye hadhi hawa wanaojiuza wapo, na haina maana kuwa wanaoenda hapi wote wanajiuza au wateja.
Jaribu kutembelea sehemu kama samaki samaki,high spirit,ctfm,slipway,elements,trinity,qbar etc kote huko wapo inawezekana ukaenda usijue kuwa wapo kwassbabu siku hizi ni ngumu kutofautisha anaejiuza ana asiejiuza, ukimtokea ndio utajua yupi ni yupi.
 
Mkuu Rrondo kama haikuwa mnunuzi hivyo viwanda ulikwenda kufanya nini?

Ungemkuta ex wako amefungua pub angeweza kukupa round ya urafiki. Next time katika situation kama hiyo ukiona moyo wako ni mwepesi wewe sepa kisilence.
Hebu twende kule kwa Mobutu...hapa naona watu wanamsulubu RRONDO bila sababu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inaonesha wewe huwa hutoki usiku. Sehemu zote za starehe wanaojiuza wapo. Mimi nilienda kuangalia live band.

Mkuu as a man huhitaji kujustify mbele ya uma nini ulichoenda kufanya, wengine wakaushie tu.

Humu kuna wanafiki wengi sana, wanajifanya walokole, utakuta hao hao wanaojudge ni wauzaji/wanunuaji wazuri tu ila nyuma ya keyboard wanaongea shit.

Ushauri wangu ni mmoja, huyo dada angependa kuonana na wewe ila ni mpaka awe na uhakika kwamba lengo lako siyo kumsanifu, tumia namba nyingine jifanye ni mteja na unataka huduma, mtumie nauli halafu sema una dharura aahirishe kuja, next time mwambie tena unataka kuonana naye na mtumie tena nauli, hapo kwenye kutuma nauli unafanya timing kabla hujaanza kuulizwa namba umetoa wapi.

Mkionana hakikisha ni eneo ambalo atakusikiliza, isije akakuona halafu akakimbia, unaweza hata kulipia chumba na ukaacha maagizo reception ili yeye ndo atangulie, ukimkuta ni ngumu yeye kukimbia.
 
unamtafuta unataka kuoa ? kama ndiyo basi mfuatilie pale tena ila kama unataka kupiga tena broo acha akubarase matusi tu... lunch usishahu pale
 
Omba msamaha then omba kwa upole kama inawezekana kukutana na kuzungumza mawili matatu halafu msaidie hata mtaji, utapata baraka kubwa sana.
 
Weekend hii iliopita kwenye misele yangu ya usiku nilipita viwanja fulani maarufu kwa kutembelewa na wazungu wengi sana. Nilipofika hapo katika kuangazaangaza kwenye kona fulani nikaona msichana ambae alinivutia sana.

Nikawa napanga mikakati nimuingieje. Baada ya kumtupia jicho nikahisi kama namfahamu, nikajipitisha pale la haula kumbe ni ex wangu ambae mimi nilikuwa mwanaume wake wa kwanza na hatujaonana kama miaka mitatu hivi.
Alishtuka sana aliponiona na mimi sikutegemea kumkuta mazingira yale na mitego aliokaa. Nikamuuliza maswali mawili matatu anajikanyaga nikaamua nipotezee tukachat mawili matatu nikachukua namba yake nikaondoka eneo lile nikamwacha.

Kesho yake nikamtafuta nikaemdelea kumhoji nini kinaendelea kwenye maisha yake mpaka amefikia hatua hio. Najuta kumuuliza kwani alinitukana sana (wenyewe wanaita kuchamba) na kusema mimi ndio moja ya sababu yuko alivyo leo na akaamua kuniblock kabisa whatsapp. Hapa nilipotangu juzi namtafuta hapokei simu.
Ongea nae umuwezeshe aache hiyo kazi isitoshe wewe ndo chanzo kwa mujibu wa yeye.
 
Siku nikiwa na kesi halafu wewe hakimu....nitahukumiwa kunyongwa kwa tuhuma za kuiba kuku!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sasa RRONDO umeshindwa kugundua kuwa hapo umekosea wapi?
Binti bado ana hasira na wewe as ulimbikiri na inawezekana ulimuumiza pia na ukamuacha. Yale machungu na maumivu yakamjengea chuki kiasi kwamba haoni umuhimu wa mapenzi tena!!! Akajikatia tamamaa akaona bora ajiuze tu.

Sasa amekuona tena badala ya kutafuta namna ya kumsaidia akaona kama unamkejeli. Nina mashaka na namna ya uulizaji wako, ndio uliopelekea yeye kupandisha hasira hadi akutusi. Angeuwa wa kukutusi bila sababu angekutusi pale mwanzo ulipomfuata, lkn alikusikiliza hadi akakupa na namba.

Hivi una habari kuwa sio kila anayejiuza ana shida ya pesa!!
 
Haleluyaaaaa!!
Kugundua tatizo ni mwanzo wa kutatua tatizo.

Naomba nikuulize swali, je unaamini katika dini na Biblia?
Subiri usikie nimekufa ufanye pati....
 
Back
Top Bottom