RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 55,727
- 123,094
- Thread starter
- #161
Ngoja nikujibu kwa niaba ya mapopoma wenzio. Sehrmu nyingi za starehe hasa zenye hadhi hawa wanaojiuza wapo, na haina maana kuwa wanaoenda hapi wote wanajiuza au wateja.
Jaribu kutembelea sehemu kama samaki samaki,high spirit,ctfm,slipway,elements,trinity,qbar etc kote huko wapo inawezekana ukaenda usijue kuwa wapo kwassbabu siku hizi ni ngumu kutofautisha anaejiuza ana asiejiuza, ukimtokea ndio utajua yupi ni yupi.