Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ooh kumbe ex's are reajects isn't it?
I can understand the situation it seems Rrondo was in a big shock meanwhile the whole scenario needed more psychological intervention and one of the tools is not to show ur emotionsNope I did not say that at all. When ex is selling her beautiful body for whatever reason I'll try my level best to find the reason behind, but if she is uncooperative and use foul language against me there is no need to waste my precious time.
Viwanja vya siku hizi kila mtu anaenda. Mimi huwa napenda kwenda kwasababu kuna live band.Mkuu Rrondo kama haikuwa mnunuzi hivyo viwanda ulikwenda kufanya nini?
Ungemkuta ex wako amefungua pub angeweza kukupa round ya urafiki. Next time katika situation kama hiyo ukiona moyo wako ni mwepesi wewe sepa kisilence.
...kwa huu uandishi mbona nawe waonekana bado mtoto tu!kuna dada mmoja m nlikua wa kwanza, cku moja katka pilikapilika za maisha nkakutana nae akiwa na ***** mzaz, na kazalishwa watoto mapacha. hal nliyomkuta nayo ndug zangu ilnipa tabu sana, nguo alzovaa ndali vitenge vyakubebea watoto, mamaake nae viko hoi. Kwakua ckuia vzur nliomb tu namba na cm pia hakua nayo ikabid nchukue namb ya mamaake. Huwa namtumia chochote nkiwa vzur tatzo anataka nbebe jukum lote kwakua jamaa kakataa, kitu ambacho cwez na nna mwanamke mwngne tayar. Mungu amsaidie my ex wangu jaman wanae wakue vzur
Ndio vizuri.....maana uchumi wa nchi utakuwa kwa kasi sana......Hahahaha mkuu wakianza kutumia mashine za efd price zitapandaaa
Inaonesha wewe huwa hutoki usiku. Sehemu zote za starehe wanaojiuza wapo. Mimi nilienda kuangalia live band.Mshauri kama hapati wateja wengi sehemu hiyo aende kwengine.Halafu hata wewe inaonekana ni mnunuaji mzuri wa hayo madude mfano huko nini kilikupeleka?
Nistue hivyo viwanja nikavinjari na AspirinInaonesha wewe huwa hutoki usiku. Sehemu zote za starehe wanaojiuza wapo. Mimi nilienda kuangalia live band.
Mh!pole..labda kakosa kazi..ndo kaamua hiyo iwe ajira yake.
ngoja mi niuze nyanya zangu ..